Mke amkimbia mume anayependa kufanya mapenzi zaidi ya mara 10 Kila siku

Jumatatu mpaka ijumaa chapa kazi ,weka sex pembeni ila mwisho wa wiki Jumamosi na Jumapili mnajifurahisha bila kuchoshana. Mmoja akisema amechoka basi.
Hivi ndo utaona raha ya mke.

Yani mapenzi just for leisure tu sio kwamba ni jambo la ratiba maalumu aisee.

Mapwnzi yasiwe na ratiba,ufanye penye kuhitajika,hapo ndo utaona fresh

Ukifanya ratiba lazima umchoke mkeo utamuona hana jipya,au utasema hauna nguvu za kiume
 
Ulisikia wapi?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Standard ya Dunia ni bao tatu tu zinatosha,, pungufu ya hapo ujue una shida kidogo ila ukizidisha sio mbaya.. ila hakikisha kila mchezo jitahidi upige bao tatu..

Ndio maana pakiti ya Condom ina 3pcs tu,,, ukibakiza unambakizia nani? Mwanaume piga vitatu endelea na shughuli za kujenga taifa ulipe kodi ya uzalendo.

Wanaume tukae humo, otherwise huwezi shindana na papuchi
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mpuuzi umenichekesha, haya tunakuombea.
 
Hiyo standard ya dunia aliyeiweka ni nani? Mimi kwa ufahamu wangu tendo hilo ili liwe limefanikiwa ni pale kila mmoja aliyeshiriki (mwanaume na mwanamke) anapokuwa ameridhika, na kukinai. Yaani afike kileleni (orgasm). Wengine wanaridhika kwa bao moja, wengine 2 nk.
Naomba kuwasilisha.

NB: Karibuni Katumba huku Katavi mjipatie warembo wa Kirundi. Ila kwa sasa ni Watanzania. Walishapewa uraia.
 
Na mimi nilipokuwa bado kijana sana Nilikuwa sijambo kwenye Kwichi Kwichi,yaani bao kumi na kitu zilikuwa za kufikia.Lkn sasa hivi nimekua kidogo nimepunguza.
 
Wahi matibabu mkuu hauko normal
 
hahahhahaha joja nayo
Lakini............?
 
Picha zao mkuu, fasta natia tim huko
 
Si wanasema mwanamme "mashine?"
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwamba unapaki gari mkuu ....Mungu ni mwema atakusaidia utakua unapiga hata komoko tu fanya mazoezi sana na kula vizuri na punguza mawazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…