Mke amkimbia mume anayependa kufanya mapenzi zaidi ya mara 10 Kila siku

wewe mgonjwa, wenzio tupo kwenye 40s tunapiga viwili mara tatu kwa wiki. hapo jumlisha stress za kutafuta maisha, rundo la watoto na magharama yao na vurugu za wanawake (iliyokuwa michepuko na mke).
 
hata kila siku 3 zinachosha sembuse kwa siku zaidi ya mara 10? naafiki na maneno ya mke kuwa kuna kashetani kanamsaidia
 
Hiyo standard ya dunia aliyeiweka ni nani? Mimi kwa ufahamu wangu tendo hilo ili liwe limefanikiwa ni pale kila mmoja aliyeshiriki (mwanaume na mwanamke) anapokuwa ameridhika, na kukinai.

Walioleta hayo masomo ya Orgasm ndio walioweka hio standard mkuu... Kuwa mpole hakuna demu anaridhika na bao moja acha kujifariji, ukiona anaridhika na bao moja ujue bado mshamba ni swala la muda tu akikutana na wakulungwa wanazingatia standard.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1311][emoji1311][emoji1311][emoji1311][emoji1311][emoji1311]
 
Miaka 18 kadogo hako...aje achukue mpare au mhaya au mngoni wa 20yrs..atakimbia mwenyewe
 
hata kila siku 3 zinachosha sembuse kwa siku zaidi ya mara 10? naafiki na maneno ya mke kuwa kuna kashetani kanamsaidia
Kila baada ya siku tatu unachoka kukazwa? Means twice a week nayo tabu šŸ˜…??
 
Kila baada ya siku tatu unachoka kukazwa? Means twice a week nayo tabu šŸ˜…??
Tatizo hujui kusoma vzr mkuu ...nasema kila siku round tatu inachosha sembuse 10? Rudia kwa makini aisee umekosea kunicheka hahhahahahhajaja weweeee yaan mm ni WA siku 2 kwa week kweli? Aisee hapana
 
Tatizo hujui kusoma vzr mkuu ...nasema kila siku round tatu inachosha sembuse 10? Rudia kwa makini aisee umekosea kunicheka hahhahahahhajaja weweeee yaan mm ni WA siku 2 kwa week kweli? Aisee hapana
Nilitaka nishangae hii dozi ya kitoto ndio ambayo mtu mzima kama wewe unailalamikiašŸ˜‚kweli?
 
Nilitaka nishangae hii dozi ya kitoto ndio ambayo mtu mzima kama wewe unailalamikiašŸ˜‚kweli?
Hapana aisee ulitaka unikoseee kbsa..Ila nafurah umeelewa

Vp lkn unaendeleaje huko mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…