Mke amwomba mme alale na mtu mwingine ili wapate mtaji

Kwa wanaume wa pwani huko daslam hiyo ni kawaida yao , Tanga nao wako hivyo hivyo mwanaume hufanyi kazi ukiamka asubuhi unaoga tu na kuingia mtaani kukaa vijiweni, mke nae hana kazi ila ukirudi mchana unakula wali nazi na kuku haujui hata vimetokea wapi na hauulizi

Unakuta jamaa anakaa nyumba ya urithi akitaka kutoka anamuomba mke wake hela wakati mke ni mama wa nyumbani na akipewa anapokea.
Huko ndo kuruhusu mke wako ajiuze indirect
 
ukiona mwanamke amekuwa na ujasiri wa kuja kukuomba ombi kama ilo ujue unamnyonyaga vagina na mambo mengine yanayofanana na Ayo so anakuchukulia Tu kama mwanamke mwenzake
 
Ungekua wewe ungekubari utoe utamu upewe 2M?
Maamuzi yangu mimi sio lazima yafanane na ya mwingine. As long as wao wenyewe wamekubaliana mie ni nani nione haipo sawa? Let them do it kama inawapendeza.
 
Dharau mbaya sana hii.

Ukiendekeza njaa kila mtu atakudharau.
 
Tanzania kama nchi tumefikia mahari pabaya sana
 
Maamuzi yangu mimi sio lazima yafanane na ya mwingine. As long as wao wenyewe wamekubaliana mie ni nani nione haipo sawa? Let them do it kama inawapendeza.
Mkuu nimekuuliza wewe km wewe utakubari uchukue 2M ukaongeze kwenye mtaji alafu umpe Mzee Utamu akupigilie mjegeja usiku mzima?
 
Vipi kama mzee ana maradhi na anataka kumuambukiza au ni vipi akitaka kinyume na maumbile atakubali?! Aache kuuza utu wake kwaajili ya pesa
Ni sawa pesa zinatafutwa ila si kwa njia hiyo
 
Kuliwa ataliwa na hatapewa hata shilingi mia mbovu, huyo bado hajawajua wakulungwa wakitaka kitu wana mbinu za kijasusi, unaweza hata kuhaidiwa dunia

Sasa jichanganye, utachezea ukuni na ukinogewa tu utautaka mwenyewe😂
 
Hiii Fedheha sasa
 
One man down
Kuku tunafuga na tuna mashamba ya minazi na kwenye nyumba za urithi tumeweka wapangaji mke ndio anasimamia hapo vp
 
Mkuu nimekuuliza wewe km wewe utakubari uchukue 2M ukaongeze kwenye mtaji alafu umpe Mzee Utamu akupigilie mjegeja usiku mzima?
Nitakuwa na jibu siku ikinitokea.
Kwa sasa sijui
 
Mimi nazan huyo dada asisubiri kukubaliwa na mme wake yeye aende tuu maan kama aliwez kumshiriksha mme wake inamaan Tayar yeye kama mwanamke ameona jambo la msing


Mwanaume ajue ata akimkatalia ajue tuu huyo mwanamke ameshaliwa...[emoji3257][emoji410][emoji3596][emoji51]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…