Mke amwomba mme alale na mtu mwingine ili wapate mtaji

Huo ni upuuzi, mwanamke akaliwe kwa 2m/= na asipompa ila akaliwa itakuwaje ?

Wanawake waangalie na kitu cha kumshirikisha mme,

Wanaume siyo wa low mind hivyo.
 
Hakuna mwanaume timamu na rijali anayeweza kukubali hiyo.Vinginevyo labda hampendi huyo mwanamke.Na ukiona mkeo amepata ujasiri wakuja kukwambia hivyo jua alishafanya maamuzi yakukubali hapo anakupima tu upepo kujua utachukuliaje ila vyovyote utakavyoamua yeye sawa.Ukiwa kama mwanaume unatakiwa kujua hadi hapo huna mke.Ingekua ni mimi ningekubali alafu natengeneza fumanizi ili nipige ela nzuri kwa huyo mzee alafu nikifanikiwa mke nampiga chini nafanya mambo mengine ili wawe huru.Kwasababu hapo ata ukikataa ataliwa tu kwasababu ameshakuonyesha udhaifu wako kua huna ela na nimaskini namimi sio size yako.Sasa bora ujilipe kupunguza machungu mengine yatajulikana badae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa naye anataka amle rafiki wa mkewe, je naye atapewa maokoto?
 
Huyo mzee sio mwingine ni wewe. Kama unataka kuwapa msaada umpatie hiyo 2m lakini akiharibu hiyo familia Yeye na vipesa vyake ataishia porini.

Ndipo atatamani Arejee hata kwa dakika moja afanye mema lakini atakuwa amechelewa. Kwanini ublack -mail watu na vihela vyako tena vichafu? Je ni nani aliyezaliwa ameshika Hela?
 
Akiruhusiwa then mzee akakate moto..

Itakuwa kesi nyingine
 
2M only unafanya hivo.
😂😂😂😂😂😂😂
Huyo mwanaume wake pia ni boda wa chamazi
 
Hii ilishatokea (1993) huko Hollywood Indecent Proposal.., based kwenye kitabu cha Jack Engelhard...

Sisemi kama haijawahi kutokea in reality (nothing is new under the sun) lakini hio ya mtu kuja kukaa na wewe kukwambia huo upuuzi wakati visu, risasi, bunduki na wivu ni wa kumwanga ujasiri huo wa kutoa hizi kauli unapatikana kwenye wide screen pekee....
 
Mkuu umechafukwa🤣🤣🤣
 
Duh..
Umaskini mbaya sana!
ccm imeharibu sana nchi
 
Hao,wewe na wote ni WAPUMBAVU mumekutana
 
Wewe unasemaje kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…