Mke anahitajika haraka, na ndoa ifungwe

Mke anahitajika haraka, na ndoa ifungwe

Nasiebu

New Member
Joined
Dec 13, 2021
Posts
3
Reaction score
6
Kwa majina naitwa Naseeb ni mzaliwa wa Moshi Ila naishi Arusha kikazi, kabila ni Mrangi-mbena, miaka ni 28 na elimu ni bachelor holder..Nahitaji mwanamke wa kuoa awe mke kwani nimechoka kupoteza muda na vigezo ni Kama ifuatavyo
+Dini uwe muislamu
+Elimu yoyote
+Uwe mpole
+Uwe tayari kwa ndoa
+Mengine tutajuza ukija DM
Nahitaji mtu serious na Kama uko tayari 0783331608(njoo Whatsapp tuyajenge)
 
Karibu JF dear New member,
Ama baada ya salamu nikutakie kila la kheri ufanikiwe sawa na hitaji lako la Moyo!!
 
Huwa siamini kama nyie watu wa kutangaza humu mpo serious.
Unakosaje mwanamke mpaka unakuja kutangaza hapa?

Domo zege?
Unajifungia ndani?
Haujiamini?
Stress?

Nini tatizo hasa?
 
Back
Top Bottom