Mke anahitajika haraka, na ndoa ifungwe

Mke anahitajika haraka, na ndoa ifungwe

Kama ambavyo ndugu zetu wanajua kukimbilia ndoa basi nakutoa takaka 3 wapo active sana
 
Huyo mke unaoneka atalipwa kabisa maana sio kibabe hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona hujaweka umri?! Mabibi tunaruhusiwa kuja huko PM?
 
Kwa majina naitwa Naseeb ni mzaliwa wa Moshi Ila naishi Arusha kikazi, kabila ni Mrangi-mbena, miaka ni 28 na elimu ni bachelor holder..Nahitaji mwanamke wa kuoa awe mke kwani nimechoka kupoteza muda na vigezo ni Kama ifuatavyo
+Dini uwe muislamu
+Elimu yoyote
+Uwe mpole
+Uwe tayari kwa ndoa
+Mengine tutajuza ukija DM
Nahitaji mtu serious na Kama uko tayari 0783331608(njoo Whatsapp tuyajenge)
Hapo kwenye dini
 
Back
Top Bottom