Mke anahitajika haraka, na ndoa ifungwe

Mke anahitajika haraka, na ndoa ifungwe

Usijali, tumbo langu linakuwaga tayari wakati wote[emoji23]. Wewe andaa hela.
Kuhusu budget itakuwa maridhawa kabisa usisahau kuandaa nyonga pia huenda tukaitumia katika msimu huu wa krismasi anga imependeza mda wote!😅
CE6DABFF-D814-4C2D-A74C-A1788090FE11.jpeg
 
Huwa siamini kama nyie watu wa kutangaza humu mpo serious.
Unakosaje mwanamke mpaka unakuja kutangaza hapa?

Domo zege?
Unajifungia ndani?
Haujiamini?
Stress?

Nini tatizo hasa?
Mke anapatikana popote tu
Kuna watu wamekutana kanisani na misikitini na wameshaachana
 
Niandae na nyonga tena? Si umesema niandae muda na tumbo langu sasa hili la nyonga linatoka wapi tena jamani.
Hapa ndio shida inapoanzia. Sasa we mwenzako anakukaribisha vitu vitamu, ila akiomba na wewe umpe utamu unaanza uchoyo. Wanawake wa bongo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huu ubinafsi ndio unawagharimu kudadadeki zenu na ndio sumu yenu hii. Kambale au kitimoto hujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
 
Sasa jamani tulikubaliana mimi niandae Muda+Tumbo.
Yeye aandae Muda+Pesa.

Sasa yeye anaongeza cha tatu yaanu iwe Muda+Tumbo+Nyonga..
 
Hapa ndio shida inapoanzia. Sasa we mwenzako anakukaribisha vitu vitamu, ila akiomba na wewe umpe utamu unaanza uchoyo. Wanawake wa bongo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huu ubinafsi ndio unawagharimu kudadadeki zenu na ndio sumu yenu hii. Kambale au kitimoto hujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
Hahahahah mtoto hataki tubalansi ikwesheni 😅 analeta janja janja ila tutafika tu zilongwa zitendwa!!!
 
Kwa majina naitwa Naseeb ni mzaliwa wa Moshi Ila naishi Arusha kikazi, kabila ni Mrangi-mbena, miaka ni 28 na elimu ni bachelor holder..Nahitaji mwanamke wa kuoa awe mke kwani nimechoka kupoteza muda na vigezo ni Kama ifuatavyo
+Dini uwe muislamu
+Elimu yoyote
+Uwe mpole
+Uwe tayari kwa ndoa
+Mengine tutajuza ukija DM
Nahitaji mtu serious na Kama uko tayari 0783331608(njoo Whatsapp tuyajenge)
Kila la kherii
 
Huwa siamini kama nyie watu wa kutangaza humu mpo serious.
Unakosaje mwanamke mpaka unakuja kutangaza hapa?

Domo zege?
Unajifungia ndani?
Haujiamini?
Stress?

Nini tatizo hasa?
Yaani hayo uliyoorodhesha hapo juu ndio matatizo yenyewe

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom