Mke anahitajika haraka, na ndoa ifungwe

Huwa siamini kama nyie watu wa kutangaza humu mpo serious.
Unakosaje mwanamke mpaka unakuja kutangaza hapa?

Domo zege?
Unajifungia ndani?
Haujiamini?
Stress?

Nini tatizo hasa?
Mke anapatikana popote tu
Kuna watu wamekutana kanisani na misikitini na wameshaachana
 
Niandae na nyonga tena? Si umesema niandae muda na tumbo langu sasa hili la nyonga linatoka wapi tena jamani.
Hapa ndio shida inapoanzia. Sasa we mwenzako anakukaribisha vitu vitamu, ila akiomba na wewe umpe utamu unaanza uchoyo. Wanawake wa bongo bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Huu ubinafsi ndio unawagharimu kudadadeki zenu na ndio sumu yenu hii. Kambale au kitimoto hujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
 
Sasa jamani tulikubaliana mimi niandae Muda+Tumbo.
Yeye aandae Muda+Pesa.

Sasa yeye anaongeza cha tatu yaanu iwe Muda+Tumbo+Nyonga..
 
Hahahahah mtoto hataki tubalansi ikwesheni 😅 analeta janja janja ila tutafika tu zilongwa zitendwa!!!
 
Kila la kherii
 
Huwa siamini kama nyie watu wa kutangaza humu mpo serious.
Unakosaje mwanamke mpaka unakuja kutangaza hapa?

Domo zege?
Unajifungia ndani?
Haujiamini?
Stress?

Nini tatizo hasa?
Yaani hayo uliyoorodhesha hapo juu ndio matatizo yenyewe

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…