Afghanistan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 308
- 403
- Thread starter
- #21
Kwanini bossNaoa mkuu umeamsha gari na GEAR namba 2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini bossNaoa mkuu umeamsha gari na GEAR namba 2
Nipe experience wewe ulishajaribu humu ikawaje?Huwezi kuwapata humu wewe
Nakusahuri tafuta huko kwenu liwale wanawake wa humu watakupotezea focus yako mkuu
Hahah mkazamoyo hebu legeza moyo kwanzaMkuu hebu kwanza tuanzie hapa
Halafu
Halafu jina lako ni Afghanistan huko Kabul kwa watalibani
Hao si ndo wa msimamo mkali
Mkuu ahirisha maramoja humu hutopata mwanamke wa kweliNipe experience wewe ulishajaribu humu ikawaje?
Ngoja nithibitishe hili kupitia PM zao nitakupa mrejeshoMkuu ahirisha maramoja humu hutopata mwanamke wa kweli
Wengi wamejaa tamaa na ni wazushi sana majike ya humu majuaji sana.
Labda udake Singomaza na hao sikushauri sana
Asiyesikia la mkuuNgoja nithibitishe hili kupitia PM zao nitakupa mrejesho
😂😂😂😂 Fact"Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate nilipo)"
Shemeji hapo panatia hamu
"Kwa sasa naishi mkoa mmojawapo kanda ya kusini mwa Tanzania na huyo atayekuwa mke wangu awe tayari kuja tuishi huku."
Halafu hapa panakata hamu.
Kila laheri shemeji upate mke na ndoa iwe ya furaha sana huku mkiinjoi korosho huko
Hata kama huna dini poa tuDini y0y0te duh..
Ila wew kwaiyo Kutoka Kuishi nje had Kuishi chitoholi😂😂😂"Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate nilipo)"
Shemeji hapo panatia hamu
"Kwa sasa naishi mkoa mmojawapo kanda ya kusini mwa Tanzania na huyo atayekuwa mke wangu awe tayari kuja tuishi huku."
Halafu hapa panakata hamu.
Kila laheri shemeji upate mke na ndoa iwe ya furaha sana huku mkiinjoi korosho huko
Semaji letu.. punguza kutusagiaMkuu ahirisha maramoja humu hutopata mwanamke wa kweli
Wengi wamejaa tamaa na ni wazushi sana majike ya humu majuaji sana.
Labda udake Singomaza na hao sikushauri sana
Umeshaenda PM? 😆Semaji letu.. punguza kutusagia
Yani ukisoma hapo awe tayari kuishi tz au nje....moyo unafanya paaah unajisemea ahsante baba.Ila wew kwaiyo Kutoka Kuishi nje had Kuishi chitoholi😂😂😂
Watu wenyewe kama hao kina Evelyn Salt bora wavunge tu [emoji38][emoji38]Pm yako itakuwa imejaa
Utakuwa tayari kwenda sudan?Yani ukisoma hapo awe tayari kuishi tz au nje....moyo unafanya paaah unajisemea ahsante baba.
Ukirudi huku naishi kusini mwa tz....moyo unajisemea nyooooooohhh nije kula korosho na maembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂Na chamakii mchangaYani ukisoma hapo awe tayari kuishi tz au nje....moyo unafanya paaah unajisemea ahsante baba.
Ukirudi huku naishi kusini mwa tz....moyo unajisemea nyooooooohhh nije kula korosho na maembe🤣🤣🤣
Watu wamelielewaMke anahitajila haraka [emoji849]tangazo km la mtu anayehitaji damu!!