Mke anahitajika haraka

Mke anahitajika haraka

"Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate nilipo)"

Shemeji hapo panatia hamu

"Kwa sasa naishi mkoa mmojawapo kanda ya kusini mwa Tanzania na huyo atayekuwa mke wangu awe tayari kuja tuishi huku."

Halafu hapa panakata hamu.

Kila laheri shemeji upate mke na ndoa iwe ya furaha sana huku mkiinjoi korosho huko
😂😂😂😂 Fact
 
Ila wew kwaiyo Kutoka Kuishi nje had Kuishi chitoholi😂😂😂
 
Yani ukisoma hapo awe tayari kuishi tz au nje....moyo unafanya paaah unajisemea ahsante baba.

Ukirudi huku naishi kusini mwa tz....moyo unajisemea nyooooooohhh nije kula korosho na maembe🤣🤣🤣
 
Ukirudi huku naishi kusini mwa tz....moyo unajisemea nyooooooohhh nije kula korosho na maembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utakuwa tayari kwenda sudan?
 
Yani ukisoma hapo awe tayari kuishi tz au nje....moyo unafanya paaah unajisemea ahsante baba.

Ukirudi huku naishi kusini mwa tz....moyo unajisemea nyooooooohhh nije kula korosho na maembe🤣🤣🤣
😂😂😂Na chamakii mchanga
 
Back
Top Bottom