Mke anahitajika haraka

Mke anahitajika haraka

Awe:
●Dini yoyote ila asiwe na msimamo mkali
●Kabila lolote
●Miaka 31 kushuka chini
●Elimu form 4 na kuendelea
●Kazi yoyote (si lazima)
●Awe tayari kuishi Mahali popote Tanzania au nje(anifuate nilipo)
●Ahakikishe amejikana mwenyewe na kujitwika msalaba wa uaminifu kisha anifuate

♡Ukiwa na hizi sifa njoo PM ambako tutapeana namba tuweze kufahamiana vizuri na maisha yaanzie hapo

MIMI:
●Mkristo
●miaka 31
Sifa zangu zingine nitakupa PM ila usiogope ni Raia mwema,mcha MUNGU, najishughulisha na nina malengo makubwa.
Kwa sasa naishi mkoa mmojawapo kanda ya kusini mwa Tanzania na huyo atayekuwa mke wangu awe tayari kuja tuishi huku.

Karibu
Duh! Mke wa haraka haraka! Haraka haraka inaweza isiwe na baraka. Kumbuka. Unatafuta mwenzi wa maisha mwanangu. Hivyo, ningeshauri haraka iepuke usijejuta haraka. Ni ushauri tu
 
Duh! Mke wa haraka haraka! Haraka haraka inaweza isiwe na baraka. Kumbuka. Unatafuta mwenzi wa maisha mwanangu. Hivyo, ningeshauri haraka iepuke usijejuta haraka. Ni ushauri tu
Shukrani kwa ushauri,ndivyo waungwana wanavyofanya
 
Back
Top Bottom