Mke anahitajika haraka

Hahaha mke anayehitajika haraka na kuachika haraka.

Turudi kwenye mada mkuu huyu mke anayehitajika haraka ni kwa sababu ya hii hali ya hewa?? au huo uharaka wa namna gani?
 
Hahaha mke anayehitajika haraka na kuachika haraka.

Turudi kwenye mada mkuu huyu mke anayehitajika haraka ni kwa sababu ya hii hali ya hewa?? au huo uharaka wa namna gani?
Nataka kwenda naye ulaya ninamuda mfupi sana. Sitaki kuoa gozi nyeupe.
 
Aliyekwambia dini Fulani hatendi dhambi nani? Yesu mwenyewe alisema dini ya kweli ni Ile inayojali shida za watu. Mfano, kuwa na matendo mema. Sasa kama wewe dini yako inahalarisha matendo mema, hiyo ni yakumcha Mungu. Hivyo unafaa.

Mzee unaonekana mtu wa jazba sana...

Alichoandika uliyemjibu ni tofauti na ulivyoelewa...
 
Una bei gani nikuunganishe naye?
 
Huna wazee wakutafutie mke? Umesemezana na wazee wa nyumba za ibada napo ukakosa? au una mipango yako ewe kijana wa makamo?
 
We una shida, unamtafuta mke humu? Usijelaumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…