DeMostAdmired
JF-Expert Member
- Oct 7, 2017
- 1,579
- 3,798
Kwani upo na mmoja?Naruhusiwa kuwa na waume wawili Kwa mpigo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani upo na mmoja?Naruhusiwa kuwa na waume wawili Kwa mpigo?
Hahaha mke anayehitajika haraka na kuachika haraka.Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.
Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa afya.
Na hofu ya Mungu.
Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi.
Na kazi inayompatia kipato.
Dini yoyote ya kumcha Mungu.
Karibu sana Kwa aliyedhamiria( serious). PM
Nataka kwenda naye ulaya ninamuda mfupi sana. Sitaki kuoa gozi nyeupe.Hahaha mke anayehitajika haraka na kuachika haraka.
Turudi kwenye mada mkuu huyu mke anayehitajika haraka ni kwa sababu ya hii hali ya hewa?? au huo uharaka wa namna gani?
Nyie ndo mnawarubuni vijana wasioeila Mpaji Mungu kwamba tunataka kuolewa ko umetuona sisi ni age go mtaani hawatutaki😂😂
tuombe msamaha
Aliyekwambia dini Fulani hatendi dhambi nani? Yesu mwenyewe alisema dini ya kweli ni Ile inayojali shida za watu. Mfano, kuwa na matendo mema. Sasa kama wewe dini yako inahalarisha matendo mema, hiyo ni yakumcha Mungu. Hivyo unafaa.
Haya, naomba unijibie . Hili nalo ni darasa.Mzee unaonekana mtu wa jazba sana...
Alichoandika uliyemjibu ni tofauti na ulivyoelewa...
Si umesema ivo hapo juu?😋😋😭😭😭😭😭😭 Kwani watu bado wanaishi hivi 😁😁😁
Kwa hiyo third floor siyo size yako madam!Kama unakaribia kustaafu utanifaa..
Hata kidogo!nataka wababuKwa hiyo third floor siyo size yako madam!
Focus yako ni pesa ama motoo motooHata kidogo!nataka wababu
Una bei gani nikuunganishe naye?Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.
Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa afya.
Na hofu ya Mungu.
Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi.
Na kazi inayompatia kipato.
Dini yoyote ya kumcha Mungu.
Karibu sana Kwa aliyedhamiria( serious). PM
Sasa ujobless Kwan utaendelea milele na mimi kama binaadamu Nina ndogo zangu 😁😁😁😁😁Si umesema ivo hapo juu?😋😋
Ngona kwanza akubali.Una bei gani nikuunganishe naye?
Tatizo ni kwamba sijui kusoma wala kuandika ningeenda 🤣🤣
Nisaidie !Huna wazee wakutafutie mke? Umesemezana na wazee wa nyumba za ibada napo ukakosa? au una mipango yako ewe kijana wa makamo?
We una shida, unamtafuta mke humu? Usijelaumu.Mimi ni:
Kujana: 35
Sija wahi kuoa:
Sina mtoto:
Mjasiria Mali:
Nina shahada ya kwanza.
Niko, Ilala, DSm.
Sina kitambi , mrefu wa wastani.
Dini : mkristo.
Sifa za mke mtarajiwa
Awe:
Mzima wa afya.
Na hofu ya Mungu.
Na Elimu angalau ya kujua kusoma na kuandika au zaidi.
Na kazi inayompatia kipato.
Dini yoyote ya kumcha Mungu.
Karibu sana Kwa aliyedhamiria( serious). PM