Mke anahitajika

Mke anahitajika

Kweli mkuu,

Yani hapo nyinyi atakuwa anawaheshim,so hawezi jiharibia akawakubaria mabaharia wa mtaani..

Ndo mana me naona huyo unipasie Baharia mwenzako hapa.
Yuko vizuri huyu binti. Mpaka sisi mabaharia tunamuangalia kwa mbali tu. Maana unaweza kumtokea akakutolea nje mchana kweupe,halafu ukaanza kuona aibu hata kuwepo tu mitaa hiyo. Hasa kulingana na heshima anayotoa huyu binti

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waoaji wa siku hizi ni sheedah! Punguzeni mashart jamani... vingine havina hata msingi mweeh! Wewe una sifa gani? mweupe au mweusi, una uzazi??? Umejazia au kibamia?? mrefu mfupi???
1. Mkipendana mtakubaliana nani abadili dhehebu... so usabato sio shida
3. Kuzaa ni majaliwa ya Mungu.
4. Ndio mnasababisha watu wachubue ngozi zao
5. Ndio maana wenye flat screen wanaenda tafuta matako ya kichina

Moood ya leo kuandika andika tuuuuuuuuuuu
Yani nimekupenda ghafla tu, umeongea kwa hisia sana. Masharti kama mganga khaaaaaa kwaiyo kama hauna tako huna soko mjini, mweusi huna soko, wanaume mnatesa sana
 
Aisee kuwa kwangu Jamiiforums tangu 2008 kama anonymous user, na 2011 rasmi kujiunga sikuwahi kujua kama kuna hili jukwaa adhimu hivi.
 
I see kuna binti yuko jirani na dukani kwangu huyu binti anajielewa sana. Kwanza muda unamkuta yuko busy,yuko serious na anachokifanya. Ana heshima kupitiliza,mpaka mabaharia wanaogopa kumtokea. Hata kumtokea tu hutapata hata muda wa kumwaga sera zako. Mpaka moyoni huwa namuombea huyu ni wa kupata mume muelewa. Huyu ni wife material kabisa. Ni mweupe,si mrefu sana. Ana kifigure fulani cha kichokozi kinachoelekea namba 8 kama sio 8 kabisa. Ana chura ya kutosha. Ni mzuri wa sura. Anajitambua sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Promo at work
 
Back
Top Bottom