Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
Happy Sabbath kwanza msingi wako wadini ubaki hapo hapo usitigishike wala kubabaika na haya maneno ya wanadamu shikilia msimamo wako na imani yako tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Happy Sabbath kwanza msingi wako wadini ubaki hapo hapo usitigishike wala kubabaika na haya maneno ya wanadamu shikilia msimamo wako na imani yako tu.
Happy Sabbath kwanza msingi wako wadini ubaki hapo hapo usitigishike wala kubabaika na haya maneno ya wanadamu shikilia msimamo wako tu.
Yuko vizuri huyu binti. Mpaka sisi mabaharia tunamuangalia kwa mbali tu. Maana unaweza kumtokea akakutolea nje mchana kweupe,halafu ukaanza kuona aibu hata kuwepo tu mitaa hiyo. Hasa kulingana na heshima anayotoa huyu binti
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasabato wamefanya nn ? hii ni post ya pili naona msabato hatakiwi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha sio tabia mkuu. Kuhusu figure lake hilo halina shaka. Muhimu ulichoongezea tabia zake tutuma picha yake PM
Yani nimekupenda ghafla tu, umeongea kwa hisia sana. Masharti kama mganga khaaaaaa kwaiyo kama hauna tako huna soko mjini, mweusi huna soko, wanaume mnatesa sanaWaoaji wa siku hizi ni sheedah! Punguzeni mashart jamani... vingine havina hata msingi mweeh! Wewe una sifa gani? mweupe au mweusi, una uzazi??? Umejazia au kibamia?? mrefu mfupi???
1. Mkipendana mtakubaliana nani abadili dhehebu... so usabato sio shida
3. Kuzaa ni majaliwa ya Mungu.
4. Ndio mnasababisha watu wachubue ngozi zao
5. Ndio maana wenye flat screen wanaenda tafuta matako ya kichina
Moood ya leo kuandika andika tuuuuuuuuuuu
Promo at workI see kuna binti yuko jirani na dukani kwangu huyu binti anajielewa sana. Kwanza muda unamkuta yuko busy,yuko serious na anachokifanya. Ana heshima kupitiliza,mpaka mabaharia wanaogopa kumtokea. Hata kumtokea tu hutapata hata muda wa kumwaga sera zako. Mpaka moyoni huwa namuombea huyu ni wa kupata mume muelewa. Huyu ni wife material kabisa. Ni mweupe,si mrefu sana. Ana kifigure fulani cha kichokozi kinachoelekea namba 8 kama sio 8 kabisa. Ana chura ya kutosha. Ni mzuri wa sura. Anajitambua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Najipigia promo?,nampigia promo(kwa nini nimpigie?)?. Namsaidia muombaji. Hata hivyo hiyo sio aifuatePromo at work