Mke anahitajika

llxgl

Member
Joined
May 14, 2023
Posts
5
Reaction score
3
Habari wana JF,

Mimi ni mpya hapa, niseme wazi kuwa nimejiunga leo kwa sababu moja tu kutafuta mke bora/mwema/ aliye tayari.

Wasifu wangu;
Dini: Mkristo
Umri: 45
Mkoa: Mbeya
Familia: Watoto wanne, watatu wapo boarding. Mmoja anaishi na mamake
Ndoa: Tumetalikiana ki Sheria 2020
Shughuli: nimejiajiri

Aina ya ninaemuhitaji:

Umri: 30 - 40
Dini: Yoyote
Watoto: Wasizidi wawili
Kazi: Haijalishi

Maelekezo muhimu:

Kuzaa kwa sasa sio kipaombele japo ikitokea insha'Allah mtoto hakataliwi.

Aliye tayali awe tayali kuishi ninapoishi mimi kwa maana ya mkoa mara baada ya kuwa tumekubaliana.

My take:
1: Endapo yeyote aliyetayali basi tuchekiane PM kwa hatua za awali.

2: Ukiona haikuhusu nakushauri soma kisha uiache kama ilivyo.

Shukran sana.
 
Mungu akuwezeshe kumpata
 
Wapo wengi mkuu, ila kuwa makini πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… kuna Kaswende na homa ya ini 😁😁😁😁
UPINDE nyie hayo magonjwa hamyapati?
Emoji

#YNWA
 
Ukiona haikuhusu nakushauri soma kisha uiache kama ilivyo.[emoji419][emoji375]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…