Mke anaruhusiwa na Sheria ya Ndoa kukopa kupitia jina la Mume na Mume kuwajibika kulipa

Only in Bongo.

 
Sasa hivi wamama vicoba burudani
Dhamana nje nje
Tusio na ndoa itabidi tutafute hata ndoa feki sasa tukakopee benk


 
Hii ipo siku zote kwenye sheria ya ndoa lakini inatakiwa akope kama mume ameshindwa au hatoi matumizi kwa familia, na iyo hela itatumika kwa matumizi ya familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…