Mke anaruhusiwa na Sheria ya Ndoa kukopa kupitia jina la Mume na Mume kuwajibika kulipa

Mke anaruhusiwa na Sheria ya Ndoa kukopa kupitia jina la Mume na Mume kuwajibika kulipa

Aende Tu!
Nipo nasubiria ushahidi wa huo ubahili wangu!
Nyambafuuuuuuuu kabisaaaah
 
Na pia tungeandika sheria pale unapokuwa na mke halafu hasimamii vema majukumu kama mama na kama mke then unapita na house girl bila shida.
 
Masharti ya mkopo yanakuwa vipi, maana wengi watakopa kununua vipodozi, nguo, mikoba, vitenge, mikufu, heleni, viatu hakuna cha maana kitakachofanyika......shida inarudia palepale. Badala ya kuniweka dhamana, weka nyumba ili ikipigwa mnada kila mtu arudi kwao......watoto watasepa na mama yao, kwani kila mtu atarudi kwa mama yake.
 
Duka la mangi au mpemba akopeshe? Sio rahisi hiyo sheria ni redundant imeandikwa tu kufurahisha wanawake in sheria hewa
 
Back
Top Bottom