Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Ikitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe.
Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu) na ajabu anaporudi mama mkwe anampigia simu mume, "amefika salama?" Mume anashangaa tu..... anyway, labda mama hajui kama mwanae ameenda kwake bila kuaga. Mume akipiga simu haipokelewi.
Mume anataka kuacha mke. Nini maoni yenu wadau?!!!