Mke anashindana na mume na hataki kukubali kushindwa, nini' kifanyike?

Mke anashindana na mume na hataki kukubali kushindwa, nini' kifanyike?

Hana sifa za kuwa mke Bora wa maisha ila kuishinae Bora mke tuuh
 
Mwanaume naye awe anaaga, kwanini uondoke nyumbani watu wasijue umeenda wapi, hata house girl tunaaga tukitoka kama mke au watoto hawapo nyumbani
 
Kosa namba moja ni kukaa karibu na ukweni. Pia kwa nn ucmtie mimba.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom