Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 997
- 1,220
Ambayo ni ......Tatizo lipo kwa mume,mke kajua mume ni bwege hawezi kufanya maamuzi ambayo wanaume hufanya.
Kisa wangoni mnafanya ivyo etOA Tena hakuna umilele kwenye ndoa!
Watakuja kukuambiwa kwasababu umelelewa na single mother au wewe last bornTuliza akili uandikd vizuri, na hapo kwa akili za kijasusi shida ipo kwa mume ila ndo ivo Me wengi hatuonagi makosa yetu.
Pepo Pepo, timua pepoIkitokea mume ametoka bila kuaga (kutokana na mihangaiko yetu ya kighafla ya wanaume), mke nae anatoka bila kuaga na kwenda anakokujua mwenyewe.
Wakati mwingine huenda kwao (kwakuwa ni karibu) na ajabu anaporudi mama mkwe anampigia simu mume, "amefika salama?" Mume anashangaa tu..... anyway, labda mama hajui kama mwanae ameenda kwake bila kuaga. Mume akipiga simu haipokelewi.
Mume anataka kuacha mke. Nini maoni yenu wadau?!!!