Mke anashindana na mume na hataki kukubali kushindwa, nini' kifanyike?

Mimi tu sijamuoa bado ananijua mori za kimasai ninazo ...Mashindano atayaanzia wapi?
 
Watakuja kukuambiwa kwasababu umelelewa na single mother au wewe last born
😂😂 ndo ukweli mkuu, shida ipo kwake Me, hatumii akili kuhandle familia yake anatala loyalty tu kisa anawapeleka chooni, hajui watu hutumia akili kuwaweka chini yakd member wa familia na sio visirani, minuno na ubabe usio maana.

Ukiondoka aga, baadhi ya vitu vidogo waige toka kwako.
 
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Kuchokana huko 😀
 
Kama kweli hamuwezi,bora aachane nae tu,hakuna namna,na unaweza kuta mwanamke anatafuta nafasi ya talaka tu!!
 
Muache halafu mtongoze mara ya pili umuoe mara ya pili akirudia muache tena
 
Imenikumbusha mwaka mmoja jirani yangu alioa, baada ya miezi akaanza kuvuta sigara, siku mkewe alipogundua naye akaanza kuvuta sigara, mume akinunua sportsman, mke SM na Embassy, walitunishiana msuli mpaka jamaa akaamua kuacha
 
Wala asimuache afanye hivi yeye akiludi Wala usimkasirikie toa pesa ya matumizi lakini usile chakula chake Kisha kuwa kama hujali vituko vyake ukifaulu hili atahisi unajambo lako
 
Wala asimuache afanye hivi yeye akiludi Wala usimkasirikie toa pesa ya matumizi lakini usile chakula chake Kisha kuwa kama hujali vituko vyake ukifaulu hili atahisi unajambo lako
hapo umetoa ushauri kama mwanaume mkomavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…