Mke anatafutwa

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†kwa maneno yote hayo
Akhaaaaa mie, nlivyo na gubu nimpate cha gubu si itakua vita humo ndani

Hakuna mtu mwenye gubu. Ni mtu kujua anachokitaka na ameamua kujieleza ili asimchanganye mtu kusema hakuelewa kinachotafutwa.

Wazungu wana msemo unasema

"Take a women that has been well trained by her family " kwa sababu The # failure to success for men is the spouse he chooses.
 
Kijana unajua kuandika, hakika ningekuwa na binti hapa ningekutunuku.

Asante sana kwa kwa uelewa wako.

A man settles where he finds peace

Tunajaribu kumtafuta binti ambaye atatuletea amani na furaha tele maishani
 
Kusoma Arts kumenikosesha mume daah

Kusoma arts sio shida wala tatizo.

Ila Kuendana kwa wanandoa ni muhimu sana maana Ndoa ni partnership, hivyo tunajaribu kumtafuta a good teammate to bring home the win.
 
Why sio poa kaka ?
Kwanini asitafute hukohuko mtaani?! Tena ndio vizuri sababu anaweza akatarget wasichana wawili au watatu akawa anachunguza taratibu huku anaendelea nao kimahusiano kama akiridhika nao aoe kabisa.

Tena itakusaidia kwenye kuziona na kujua tabia/mapungufu yao na makuzi yao kuliko ukutane na mtu humjui halafu uaminishwe tabia yake nzuri maana wengine sio waaminifu watafanya hivyo kumsaidia mtu wao apate ndoa tu!!

Yote ya yote boss, mwenyezi Mungu awatangulie, kikubwa mfanye sana maombi, musali awaonyeshe chaguo sahihi. Kutafuta mke mwema nayo ni kazi sana sikuhizi.

Nakumbuka kuna jamaa alikuja kutangaza kabisa kanisani kwetu kwamba anatafuta mke. Baada ya matangazo akapewa muda akajasema nia yake. Alipewa hiyo nafasi jumapili mbili na alifanikiwa kupata mke kupitia kanisa!! Mshirikisheni sana Mungu katika hilo!!
 
Kusoma arts sio shida wala tatizo.

Ila Kuendana kwa wanandoa ni muhimu sana maana Ndoa ni partnership, hivyo tunajaribu kumtafuta a good teammate to bring home the win.
Anaweza kusoma science Ila akawa kilaza, hilo nalo mkaliangalie
 

Njia zote zinatumika.. hata mtaani pia msako unaendelea.

Ushindi ama goli huwa halitafutwi kwa mbinu moja ya mashambulizi..
 
Anaweza kusoma science Ila akawa kilaza, hilo nalo mkaliangalie

Ni kweli.. ndio maana haijawekwa kama kigezo kikuu.

Sababu kuu mume mtarajiwa fani yake ni ya kisayansi.. itapendeza kama mke akiwa na yeye upande huo
 
Aisee!!! hd kufikia34 anatafutiwa!!!

Yaelekea haupo open minded.

Mpaka leo hii Arranged marriage zipo dunia nzima. High value men huwa hawakurupuki kumuoa yeyote kama hafikiii vigezo vyao wanavyovitaka kwa mama watoto wao.

Uhalisia na Ukweli ni kwamba kupata mke ni kazi kuliko kutafuta fedha, ila ukitaka kupata wa kuweka ndani ata kesho unapata.

High value women wapo wachache sana na mara nyingi wanapatikana kwa kupoint.

Wanawake wengi have nothing to offer, but they want everything from you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…