Mke anatafutwa

Tangazo limeshiba
Mungu atakupa hitaji lako
Vijana wa kiislamu mbona hamuweki matangazo matamu hivi
Lucha au had anibebe mzabzab ndo muanze kulalamika
 
NIna watu watatu.
Uko serious kwelikweli njoo pm nikupe instagram page zao utajiongeza huko huko
 
funga safari nenda Mbinga, Ileje, Mafinga, Njombe, Serengeti au Kahama
kaaa sehemu hizo hata week tu utapata mwenye sifa zote hizo (isipokuwa elimu tu) ila ni wife material kwelikweli
 
Yaani mtu anatafuta mke kama vile alikuwa naye akampoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…