Mke anataka kunikimbia...

Niko hapa dada angu. Hebu njoo nikubusu niitii kiu yangu.

Watu wananishangaza eti wanakikimbia kilichowatoa kwa wazazi wao. Ukioa/kuolewa kazi ni moja tu: Kutoa na kukabidhi kikojoleo chako kwa mwenzio wakati wowote anapohitaji kama mazingira yanaruhusu. Si eti dada eh? Hawa watoto wa enzi za CHADEMA hata siwaelewi. Kama hutaki kikojoleo chako kitumike, kirudishe kwa wazazi wako huko...ala!
 
Aisee hebu wagawie dozi huko famasi bana, mi niko bize na kina mama wanaotumia vema vikojoleo vyao huku martenity ward.
 
hehehe fellow tablet bana! nimeanzisha na ka buzinezz ka kuchimba makaburi ukiskia jamaa yoyote katutoka nishtue. biashara ya mziki hailipi kabisa yaani. slogan yetu ya business inasema "kifo chako ni mtaji kwetu".
 
Makaburi yanachagua jinsia? Hapa MMU naona kuna jinsia moja itaongoza kwa misiba bana. Hebu tuongeze dozi, hawa watu bado tunawahitaji.
 
Mke wa jamaa anataka mwenzake wa kumsaidia bana....labda jamaa acheki na dada wa kazi....
 
Kusoma katikati mya mistari ni sifa nyingine ya infii. Yaani jamaa limeruhusiwa kufanya infii badala ya kufurahi anakuja kulalama huku JF. Dah! I wish my wife wangu angenipangia ratiba ya kugawiana vikojoleo......ingekula kwake mazima.
 
Makaburi yanachagua jinsia? Hapa MMU naona kuna jinsia moja itaongoza kwa misiba bana. Hebu tuongeze dozi, hawa watu bado tunawahitaji.

weka 4-4-2 naweka 4-3-3 kama bado ngoma ngumu tutaomba msaada wa mzizimkavu na dena amsi walete zile dozi zao za nyanya chungu na kitunguu somu, kwa pamoja tunasema "afya ya kinamama ipewe kipaumbele" espesheli nyakati za usiku.
 
Kusoma katikati mya mistari ni sifa nyingine ya infii. Yaani jamaa limeruhusiwa kufanya infii badala ya kufurahi anakuja kulalama huku JF. Dah! I wish my wife wangu angenipangia ratiba ya kugawiana vikojoleo......ingekula kwake mazima.

Hapo ndo uweka hazina wako unapoonekana....
Sasa mtu anapewa green lights za infii anashangaashangaa...
 
Kusoma katikati mya mistari ni sifa nyingine ya infii. Yaani jamaa limeruhusiwa kufanya infii badala ya kufurahi anakuja kulalama huku JF. Dah! I wish my wife wangu angenipangia ratiba ya kugawiana vikojoleo......ingekula kwake mazima.

Ha ha ha hah!!!!!!
 
deh deh deh!
 
mnh na wewe kila siku,imekuwa peremende hio???
tafuta kitu cha kukufanya uwe busy,uchoke na hivyo kuhamisha mawazo yako juu ya tendo...
likfanywa mara chache kwa ufanisi ndio linanoga!!!:embarrassed:
 
Fab mpenzi, una umri gani mwakwetu? Samahani kama nimekukwaza.
 
Inamaana wife anataka ulime heka 1 tu per week!!! she z not seriouz.
Fafanua mkuu .....anakikimbia wewe au mzigo wako umezidi viwango vya TBS? may be UR A MAN AND A-HALF (pipe kubwa?)
1 ..yaelekea humuandai vizuri, na huwa unashibisha nafsi yako tu...hivyo unamuumiza mwenzio.
2.... badili maeneo ya mashambulizi na style..sio flat tire tu daily.
....women r like weather...unpredictable.....wengine wanataka ulime heka tano ...wako anataka heka 1.
...Tutashindwa kuwaelewa sasa.
 
Kusoma katikati mya mistari ni sifa nyingine ya infii. Yaani jamaa limeruhusiwa kufanya infii badala ya kufurahi anakuja kulalama huku JF. Dah! I wish my wife wangu angenipangia ratiba ya kugawiana vikojoleo......ingekula kwake mazima.
...huwezi kuacha kazi kabla hajapata kazi, huyu mke wake yaelekea ameshadanganyika na kashaonjeshwa mua........
Otherwise jamaa aajiri mke wa pili au wa tatu....ili kurudisha heshima yake.
 
mshauri akutafutie msaidizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…