Mke anatoa mashuzi usiku kucha; Kuna madhara ninayoweza kuyapata?

Sio Siri za kambi wewe sema wanaokufilimba ukiwa unafilimbwa hua unatoa uharo au hua unajamba?
Una umri gani rafk? Basi kajifunze hata kwenye video za x uone kama kuna mtu anaachia uharo.😅
 
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
ananenepa
 
Punguza kumlisha maharage na mayai ya kuchemsha, pia mpeleke hospital badala ya kuja kumuanika humu.
 
Naombeni ushauri wadau, si kwa lengo la kumdharirisha mke Bali kusema ukweli ya kinachojiri.

Aisee mke anayaachia mashuzi, kha!!!
Yaani kazi inaanza dakika hiyo hiyo anayofumba macho na inaisha tu pale anapofumbua, yaani asubuhi anapoamka!

Ajabu ni kuwa Kuna wakati unaweza kudhani anayatoa makusudi maana unahisi kabisa anajikama. Utasikia 'pfuuuuuuuuu.....' halafu kama mtu anayezivuta pumzi apate nguvu na balance tena utasikia anamalizia kwa mkupuo, 'pfuu!'. Na Hali ipo hivyo muda wote. Inanishangaza sana. Salama yangu ipo kwenye kulala tu ndo nakuwa sisikii lolote ingawa sipati picha ni kiwango gani Cha hewa chafu nabugia.......maana dah!

Naomba kujua madhara ya kiafya ninayoweza kuyapata katika Hali kama hii wadau. Muwe na asubuhi njema!
Hiyo siyo CO monoxide kweli?
 
Pole sana! Ila siku nyingine usimdhalilishe mke wako kiasi hicho kuna wengine sisi tunamjua mkeo hivyo unatuweka katika wakati mgumu tushaanza kumtamani aisee daah! Na yale makalio yake makubwa 😔
 
Gas nyingi tumboni, sababu ya baadhi ya vyakula kama ndizi mbivu na za kupikwa, chips maharage nk
ama dalili za vidonda vya tumbo
 
Pole sana! Ila siku nyingine usimdhalilishe mke wako kiasi hicho kuna wengine sisi tunamjua mkeo hivyo unatuweka katika wakati mgumu tushaanza kumtamani aisee daah! Na yale makalio yake makubwa 😔
Dawa ni kumchomekea kibunzi cha mahindi huko nyuma
 
Back
Top Bottom