PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 459
- 644
Mke wangu anatumia sehemu ya hela ninayoacha nyumbani kwa ajili ya chakula kupeleka kwenye michezo yao ya kuchangishana pesa. Mwisho wa siku, nakuta chakula hakitoshelezi wala hakiridhishi kwa sababu bajeti imepungua.
Bahati mbaya hata hajishtukii kwa anachokifanya, na kwa kweli wakati mwingine huwa naona ni bora nile Mtaani kabla sijarudi nyumbani.
Naomba kujua kama hii ni sawa Wakuu na nichukue hatua gani...!?
Bahati mbaya hata hajishtukii kwa anachokifanya, na kwa kweli wakati mwingine huwa naona ni bora nile Mtaani kabla sijarudi nyumbani.
Naomba kujua kama hii ni sawa Wakuu na nichukue hatua gani...!?