Mke anatumia hela ya chakula nyumbani kwenye vikoba, mwisho wa siku, nakuta hakitoshelezi wala hakiridhishi, je hii ni sawa?

Kama una ushahidi bila shaka, chukua uamuzi wa kuwa unanunua kila kitu mwenyewe na kuweka ndani.

Muachie pesa ndogo ndogo za kila siku za kununua vitafunwa tu.
 
Mke wangu anatumia sehemu ya hela ninayoacha nyumbani kwa ajili ya chakula kupeleka kwenye michezo yao ya kuchangishana pesa. Mwisho wa siku, nakuta chakula hakitoshelezi wala hakiridhishi kwa sababu bajeti imepungua.

Bahati mbaya hata hajishtukii kwa anachokifanya, na kwa kweli wakati mwingine huwa naona ni bora nile Mtaani kabla sijarudi nyumbani.

Naomba kujua kama hii ni sawa Wakuu na nichukue hatua gani...!?
Sio sawa,naskia vicoba vina addiction kaa naye mzungumze umweleweshe
 
Ukishajua tatizo liko wapi wewe ni mshindi tayari. Tatiyo hapo ni vkoba, sasa mpe hela ya kutosha kama huwezi fanya shopping mwenyew maana unapenda kula sana au mwambie aache vikoba na uwe unampa hela yake kama yake yaan kipochi money coz pocket money ni kwa wanafunzi
 
Kama una ushahidi bila shaka, chukua uamuzi wa kuwa unanunua kila kitu mwenyewe na kuweka ndani.

Muachie pesa ndogo ndogo za kila siku za kununua vitafunwa tu.
itaibuka kesi nyingine hapo malalamiko anaachiwa 100,100 tu na kuchepuka ,mi nshawahi kukutana na wakina dada kibao wanajiuza kisa marejesho ya mikopo
 
Suluhu ni very simple. Kaa nae kikao mwambie utaleta dada wa kazi aanze kufanyia kazi majukumu yake ya hapo ndani eneo la bajeti na chakula,yeye abakie na majukumu mengine kama kukufulia na kutoa gemu na huko kukimshinda mwambie aende mtaani akapambane na maisha kama masingle mother mbona rahisi sana wala haihitaji kupasuana kichwa.
 
Nunuua kila kitu weka ndani mboga achukue gengeni jioni utalipa huyo hachelewi kushindisha watoto njaa
Kuna jamaa alifanya hivi aliweka bili Buchani mkewe awe anakwenda kuchukua nyama na samaki sababu watoto na house girl walimwambia yeye (baba) kuwa mkewe (mama) amewalisha maharage na mboga za majani na mibamia na dagaa tokea amesafiri hawajapata nyama wala vitu vingine vya kula.

Mke alikuwa pesa ya bajeti ya chakula anafanyia upuuzi mwingine anaojua yeye. Jamaa akaongea na mtu wa buchani kuwa mke atakuwa anakwenda kuchukua yeye anatumiwa bili mwisho wa mwezi alipie.

Mwisho wa siku mwanamke akaanza kumpanga jamaa wa buchani kuwa akate kiwango cha kilo ili pesa ikija nusu apewe yeye,jamaa wa buchani akamjuza mume wake. Jamaa walimuashia moto wa maana akamwambia akirejea asimkute hapo ndani maana anamletea bangi kwenye familia.
 
Mkeo ana akili anajua kujibana, uwe unampa hela hela extra kwaajili ya matumizi yake binafsi mtafika mbali
 
itaibuka kesi nyingine hapo malalamiko anaachiwa 100,100 tu na kuchepuka ,mi nshawahi kukutana na wakina dada kibao wanajiuza kisa marejesho ya mikopo
Kama ni kuchepuka atachepuka tu hata akimuachia pesa za matumizi 100%.

Kwanza mm mambo ya vikoba huwa siyaafiki kwa 100%.

Na yeye inabidi ampige marufuku mke wake aachane na mambo ya vikoba.
 
Kuna jamaa alifanya hivi aliweka bili Buchani mkewe awe anakwenda kuchukua nyama na samaki sababu watoto na house girl walimwambia yeye (baba) kuwa mkewe (mama) amewalisha maharage na mboga za majani na mibamia na dagaa tokea amesafiri hawajapata nyama wala vitu vingine vya kula.

Mke alikuwa pesa ya bajeti ya chakula anafanyia upuuzi mwingine anaojua yeye. Jamaa akaongea na mtu wa buchani kuwa mke atakuwa anakwenda kuchukua yeye anatumiwa bili mwisho wa mwezi alipie.

Mwisho wa siku mwanamke akaanza kumpanga jamaa wa buchani kuwa akate kiwango cha kilo ili pesa ikija nusu apewe yeye,jamaa wa buchani akamjuza mume wake. Jamaa walimuashia moto wa maana akamwambia akirejea asimkute hapo ndani maana anamletea bangi kwenye familia.
Wanawake wanazingua sana hasa kwenye bill nyumbn,, unakuta bajeti uliyoweka familia ipate kitu fulani anafanya kwa uchache au anaenda kumpanga mtu km ulivyo sema, lkn wao wanataka kwenda sawa na wanawake wengine wasijue ndoa hazifanani,,

Mimi ni kununua kila kitu akiona ni ukoloni atembee mbele tuu,

Yaani bruh Kuna dada mmoja kaolewa na nyumbn kwao, wanaishi yeye na mume plus watoto house manager,, wafanyakazi plus ndugu yake

Sasa wafanyakazi wanamwambia jamaa hatuelewi kuhusu msosi kwann watapewa chakula Cha Jana au Juzi ilihali chakula fresh Cha kila siku ndugu yake huyo dada anakula

Asa jamaa hapo anaweka bajeti ya kila siku lkn mwanamke analisha wengine viporo wengine fresh menu

Ukipatana na mwanamke mchoyo fukuza hiyo
 
Huyo ni masikini ana roho mbaya pia.
 
Mke wangu anatumia sehemu ya hela ninayoacha nyumbani kwa ajili ya chakula kupeleka kwenye michezo yao ya kuchangishana pesa. Mwisho wa siku, nakuta chakula hakitoshelezi wala hakiridhishi kwa sababu bajeti imepungua.

Bahati mbaya hata hajishtukii kwa anachokifanya, na kwa kweli wakati mwingine huwa naona ni bora nile Mtaani kabla sijarudi nyumbani.

Naomba kujua kama hii ni sawa Wakuu na nichukue hatua gani...!?
Mpe Hela ya kutosha
 
Back
Top Bottom