Mke anauma jamani

Wakati mwingine usifikiri si kila mwanamke anayechepuka hapewi vizuri na mmewe wakati mwingine anarevenge tu kama wewe umekubali anagonga huko nje kuna siku atachoka ili apate ahueni na yeye atagongwa tu.
 
Unapenda mabint ww c binti kwani in pm naomba

Sijamaanisha kwamba mimi ni binti ninaetafuta mabinti wenzangu, namaanisha kwamba mimi ni handsome ninaetafuta mabinti wa kuwagegeda
 
Wakati mwingine usifikiri si kila mwanamke anayechepuka hapewi vizuri na mmewe wakati mwingine anarevenge tu kama wewe umekubali anagonga huko nje kuna siku atachoka ili apate ahueni na yeye atagongwa tu.

Na kweli hakuna namna nyingine.
 
Reactions: nao
Ila mke acha tu,me nawaza nikioa sijui itakuwaje?Maana dudu ni tamu halafu mtu mwingine anakuja kuitafuna aisee!
 
sawa mkuu... ila unaonekana hujaoa bado.
mkuu benteke nimeandika kiutani tu wala usijali, ila kwa maelezo yako inaonyesha ndoa yako changa sana, kisha unatatizo la kutokujiamini. Kwanza ukae ukijua kuwa mwanamke hachungwi. Na pia ujue kuwa mke wa mtu hatongozwi, yeye ndo anajitongozesha ( anatengeneza mazingira kwa mtongozaji).

Cha muhimu tengeneza kujiamini kuwa unamtosheleza ( na kweli mtosheleze) mahitaji yake yote ya muhimu na hasa lile la sirini. Hakikisha hana marafiki wasioeleweka ( mashosti). Hakikisha hana safari zisizo na kichwa la miguu ( mara kichen part ya mjukuu wa shangazi wa babu mzaa mjomba, baby shower ya shost wa rafiki yake walosoma nae baby class).
 
Last edited by a moderator:
Kwani ulizaliwa nae? Ni swala la kisaikolojia tu mkuu
 
Ukimchunguza bata hutaweza kumla. Wwe jua tuu una mke ishia hapoo ukitaka mengine utapata bp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…