mjukuum
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 5,258
- 2,842
ke maana yake ni nini na me maana yake ni nini?
Me mwaume
Ke mwanamke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ke maana yake ni nini na me maana yake ni nini?
Me mwaume
Ke mwanamke
Vipi kwani, unataka bwana?
Umejibu ama Na we umeuliza???
Umeuliza jinsia sasa kwasababu mimi napenda mabinti nikapanic
Unapenda mabint ww c binti kwani in pm naomba
Wakati mwingine usifikiri si kila mwanamke anayechepuka hapewi vizuri na mmewe wakati mwingine anarevenge tu kama wewe umekubali anagonga huko nje kuna siku atachoka ili apate ahueni na yeye atagongwa tu.
nduguyo kwa swala mke mtauana .. ale na mwenzieKizuri kula na nduguyo..... Sio mwenzio
nduguyo kwa swala mke mtauana .. ale na mwenzie
mkuu benteke nimeandika kiutani tu wala usijali, ila kwa maelezo yako inaonyesha ndoa yako changa sana, kisha unatatizo la kutokujiamini. Kwanza ukae ukijua kuwa mwanamke hachungwi. Na pia ujue kuwa mke wa mtu hatongozwi, yeye ndo anajitongozesha ( anatengeneza mazingira kwa mtongozaji).sawa mkuu... ila unaonekana hujaoa bado.
Mmmhhhhhmm... Sikuwezi ...aahhaaa. I miss you dear.. Thanks..jiandae kugongewa kama unavyoganga wa wenzio
mfungie speed governor
Mkuu ukishaamini mkeo ni mchepuko wa mwenzio wala haitakupa shida. Na wewe ukimpata wa mwenzio mtumie ipasavyo. Sharing is caring
karibu sanaAaahhaaaa... Duuuh kazi kweli kweli.Mama mbavu zangu please.. Haaaah. Nashukuru kwa kumake my day.... Thanks.
sasa nifanyaje....mana hii kitu imeniadhiri kisaikilojia kabisa.