Mke anayekujibu, 'amua vyovyote unavyoona', anafaa kuendelea nae kweli?

Mke anayekujibu, 'amua vyovyote unavyoona', anafaa kuendelea nae kweli?

Protect your frame, you are a man.

Mwanaume ndiye anatengeneza mfumo Kisha mwanamke anaingia. Kukujibu hivyo maana yake hiyo ni red flag, hafiti katika mfumo wako. Ukiignore basi siku moja utakuja kuandika uzi mwingine wa kuomba ushauri humu.

Fanya maamuzi ya kiume komando!!
 
Subiri atulie hasira ziishe alafu kamkumbatie umweleze machungu Yako na kwamba hutaki yajirudie. Mwambie "nakupenda ila unakosea hapa na hapa na hapa". Atakuelewa anaweza hata akalia akatoa machungu yake juu Yako. Akifanya hivyo umbembeleze.Mwelekeze makosa yake pasipo kumficha na Hawezi rudia nakuambia.

Mbembeleze anastahili kubembelezwa huyo siyo yeye nakuambia amepanda juu Yako kama defense mechanism tu ila Bado ni mdhaifu kwako.
 
Usifanye maamuzi ukiwa na hasira; pumzika, alafu utafakari; hasira zenu zikiisha wakati wa kunywa chai asubuhi, kaeni meza moja, huku kila mmoja akiwa na kikombe chake cha chai, halafu mfanye maamuzi huku mkiwa na akili timamu.​
 
Oya alafu sikieni, Mimi Sijui kwann hamunielewi.

DUNIA IMEBADILIKA SANA, MAMBO YAMEBADILIKA.

Hawa Wanawake sio wakuwabembeleza mazeee, mbona mnapata shida Ivo nao??

Yaani Hawa hata akuambie nn, wewe Jua hamna Kila kitu. Maiwachekee mazee, kwann muishi Kwa shida kisa mwanamke? Mwanamke alivembelezwa zaman, zaman hizo ambazo mwanamke alikua na Heshima yake.

Brooo unayesoma hapa, Usijisifie kua Mkeo ni mwema !!.

Hamnaaaa hamnaaaa Kila kitu, Mimi sahizi Sina wivu kabisa, sitaki niwe na hasira na kiumbe Cha mtu, sitaki kabisaaaa.

Akinishinda natemana naye, Wanawake wamejaa, siku hizi sio wachoyo kama zamani. Zamani ulikua ukiona chupi ya mwanamke hata bahati mbaya, yaan unahisi uko mbinguni. Siku hizi tunatombanaa kimasiharaaaaaaaaaa sanaaaaaa yaaan saaaaaaaaaaaana.

Asikudanganye mtu Babu... Demu asikudanganye kwamba niwewe tuu, Asipotombwa na Carlos, Kuna Muhun anamtombaa .
 
Back
Top Bottom