makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Piga talaka mpaka ukoo wake, wakikuona kwenye daladala hakuna kuwalipia nauli, wakikuona bar wasisogeze viti, ukiwaona road wasikuombe lifti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna wanawake wanaolia kwa kujutia kile alichofanya kwa kizazi hiki?.Subiri atulie hasira ziishe alafu kamkumbatie umweleze machungu Yako na kwamba hutaki yajirudie.Mwambie "nakupenda ila unakosea hapa na hapa na hapa" .Atakuelewa anaweza hata akalia akatoa machungu yake juu Yako. Akifanya hivyo umbembeleze.Mwelekeze makosa yake pasipo kumficha na HaweZi rudia nakuambia.
Mbembeleze anastahili kubembelezwa huyo siyo yeye nakuambia amepanda juu Yako kama defense mechanism tu ila Bado ni mdhaifu kwako.
Wapo wengi mkuu karibia wote naona waeleze tu makosa Yao hata wasipoonyesha kujutia wengi wao Huwa wanajutia ndani Kwa ndani na wanajirekebisha ilimradi unamchana ukweli nafsi lazima imsute.Japo Kuna wanaoignore hata dhamiri zao na kushupaza shingo.Hivi kuna wanawake wanaolia kwa kujutia kile alichofanya kwa kizazi hiki?.
Kwanza ufahamu hakuna hali itakayodumu. Anayedumu ni Mungu tu.Huyo ni mke anamjibu mume kwa ukali kuhusu kutoa talaka au baada ya mapishano madogo tu.
Yaani wewe jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unavyoongelea hiyo talaka kutoa utadhani easy tuYaan ishu ndogo ya talaka unakuja na mablanketi yako kuomba ushauri usiku huu....
Je ungemkuta anachakatwa mbususu...
Kwa mujibu wa BAKITA huyo wanamuita muhuni huyo! Yaani kijana ambaye bado hajaoa😃Yaani wewe jamaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unavyoongelea hiyo talaka kutoa utadhani easy tu
Kabisa huyo mwanamke keshafanya maamuzi ya maisha yake, kuendekeza nae ni kujivisha mabomu, na kwanza anakuwa mwanaume ambaye hauna msimamo na Hilo ni hatari sana kwenye mahusiano.Mpe talaka yake!!
Hon Buhari vipi tena hapa.....sijamuelewa!
Kuwa ndoa ya Kikristo haku-justify akose heshima,mwanamke bila kujali dini yake akiamua kufanya ujinga anafanya majuto anakuja kujuta baadae.Bila shaka ni ndoa ya kikristo hio.. hana hofu ya nafasi yake huwezi kumchimba hata mkwara
Kuna watu "malofa sana" !!!Bila shaka ni ndoa ya kikristo hio.. hana hofu ya nafasi yake huwezi kumchimba hata mkwara
Kuna watu "malofa sana" !!!
Sasa majibu hayo na dini yana uhusiano ganii!!? Mawazo mgando na dhana potofu kabisa.
Mtu yeyote anaweza kujibu, awe muislamu, mkristo, budha, hata asiye na dini.
Kuna watu wanajifanya Bora sana kwenye dini zao na kudharau wengine.
Heshimu imani ya kila mtu nawe uheshimike kijana.
Kuna watu "malofa sana" !!!
Sasa majibu hayo na dini yana uhusiano ganii!!? Mawazo mgando na dhana potofu kabisa.
Mtu yeyote anaweza kujibu, awe muislamu, mkristo, budha, hata asiye na dini.
Kuna watu wanajifanya Bora sana kwenye dini zao na kudharau wengine.
Heshimu imani ya kila mtu nawe uheshimike kijana.