Mke anayekujibu, 'amua vyovyote unavyoona', anafaa kuendelea nae kweli?

Mke anayekujibu, 'amua vyovyote unavyoona', anafaa kuendelea nae kweli?

Hao wanawake wengine sijui mnawaokotaga wapi. Hakuna kitu kibaya kama mwanamke kukufanyia kiburi. kwa mwanaume inabidi uwe mstari mwekundu hakuna kuvuka.
 
Kosa ni lako wewe, kichwa cha familia unashindwa kuongoza familia yako tena!

Badala ya kuja humu upate ushauri kwa vijana wa hovyo ambao hawaijui ndoa hata mahusiano tu yanawashinda ungeenda kwa viongozi wenu wa Dini wawakalishe chini na kuwapa ABCD,
Pia kuna Therapists wamejaa tele wanacheza game tu ofisini hakuna wateja mngeenda kuonana nao mkatoe machungu yenu huko mrudi nyumbani na furaha zote,

Ndoa ni jambo kubwa sio la mzaha mzaha, bila kuvumiliana, kujishusha, kustiriana madhaifu, hamfiki popote, hao wazazi wetu wamedumu kwenye Ndoa unadhani kwa urahisi tu, wamepitia mengi kubwa kusuluhisha na kuanza upya.
 
Mimi nakumbuka nilishawai kuambiwa kwani utanifanya nini[emoji23][emoji23] amua chochote unachoona kitakusaidia nikabaki nimeduwaa kama nimepigwa shoti[emoji848][emoji848]
 
Ni hilo tu au kuna tabia zingine ambazo zimeshakushinda? Anakunyima unyumba mnapopishana? Anakutukania wazazi na ndugu zako? Anaishi vibaya na majirani ama jamii mliopo? Majukumu kama mke ndani ya nyumba hatekelezi kiufasaha? Analea vibaya watoto (kama mnao)? Unapompa maagizo je hatekelezi? Je tone yake ni mbaya anapoongea na wewe katika mapishano ya kauli? Anapenda kukufokea na kukutia aibu mbele za watu? Je ni mshirikina? Je hakuheshimu kabisa?

Kama katika maswali yote kumi au ya mfanano huu, Ndio zitakuwa zaidi ya nane embu either tafuteni msaada wa kutoka taasisi za kiimani, ama familia zenu. Maana kama anafanya haya yote au asilimia 80 then kuna a very big problem. Lakini kama ndio ni 60%-30%, kaa nae chini. Muongee kwa uwazi hasira zikiwa zimetulia kabisa. Mwambie kwamba A,B,C zinakukwaza hvyo ajirekebishe.

Kama ndio ni chini ya 30% basi mchukulie ila mara kwa mara mkumbushe makosa anayoyafanya. Sina experience sana but maybe inaweza ikakusogeza somewhere mkuu. Tukiwa kwenye familia kila mara mkataka kuachana it does not always work out. Kama mke umempatia humu jf beba ushauri wa wana jf jumlajumla. Ila kama mna historia ya pamoja mchukulie kama mwanadamu.

Msamaha unatakiwa uwe a continuing topic katika familia. A good and strong family is built. Nyinyi ni wadhaifu wawili so kubebana na kuoversee kuwe kawaida baina yenu. Hayanaga formula anyways...work it out..kama she is worth it. If not...amua tu mkuu.
 
Mbona mambo madogo sana hayo
Eti amua sasa si unampeka out na akirudi mnalala
Kila neno ukiliona baya kwa kweli ndoa utaisikia tu
Wanawake ni warahisi sana ila ukienda nao kama na wewe mwanamke basi mtachaniana kanga
 
Oya alafu sikieni, Mimi Sijui kwann hamunielewi.

DUNIA IMEBADILIKA SANA, MAMBO YAMEBADILIKA.

Hawa Wanawake sio wakuwabembeleza mazeee, mbona mnapata shida Ivo nao??

Yaani Hawa hata akuambie nn, wewe Jua hamna Kila kitu. Maiwachekee mazee, kwann muishi Kwa shida kisa mwanamke? Mwanamke alivembelezwa zaman, zaman hizo ambazo mwanamke alikua na Heshima yake.

Brooo unayesoma hapa, Usijisifie kua Mkeo ni mwema !!.

Hamnaaaa hamnaaaa Kila kitu, Mimi sahizi Sina wivu kabisa, sitaki niwe na hasira na kiumbe Cha mtu, sitaki kabisaaaa.

Akinishinda natemana naye, Wanawake wamejaa, siku hizi sio wachoyo kama zamani. Zamani ulikua ukiona chupi ya mwanamke hata bahati mbaya, yaan unahisi uko mbinguni. Siku hizi tunatombanaa kimasiharaaaaaaaaaa sanaaaaaa yaaan saaaaaaaaaaaana.

Asikudanganye mtu Babu... Demu asikudanganye kwamba niwewe tuu, Asipotombwa na Carlos, Kuna Muhun anamtombaa .
Maneno yako yanaonesha hauna mahusiano imara, yenye malengo.
Umejifunza jambo zuri juu ya wanawake lakini inabidi utumie hiko ulichojifunza kutengeneza kitu cha kufurahia kwa miaka 40 mbele, yani mahusiano kwa ajili ya kizazi chako kijacho.
.
Ila kama hayo siyo malengo yako haina shida pia.
 
Back
Top Bottom