Mke arejesha heshima kwa Kasi ya 5G

Mke arejesha heshima kwa Kasi ya 5G

Ni kisa Cha ukweli kilicho mkuta jamaa yangu.

Yalikua ni malalamiko tu kila siku akisema mkewe hana heshima yaani hamuheshimu kabisa.

Pamoja na kuto kuwa na heshima alikua na kauli chafu Sana yule mwanamke kumuambia jamaa kuwa alimuonea huruma tu akamuoa ni neno la kawaida Sana na hili neno jamaa alikua analalamika Sana na kusema ndio linalo
Am gonna remake...ah ah ah remakinv akyanan...imekaa poa sana
 
Dawa ya key ni key imeisha iyo ivita tumepigana sana ila baada ya kufanya mapinduzi mambo yako murwaa kabisa yani tunapewa ky kote kote unazan mtume kusema owa wa 4 aliona mbari sana misaivi na 2 mashine yani wote wanashindana jinsi ya kuninogesha hata yule mtes wangu wa nyuma
 
Ni kisa Cha ukweli kilicho mkuta jamaa yangu.

Yalikua ni malalamiko tu kila siku akisema mkewe hana heshima yaani hamuheshimu kabisa.

Pamoja na kuto kuwa na heshima alikua na kauli chafu Sana yule mwanamke kumuambia jamaa kuwa alimuonea huruma tu akamuoa ni neno la kawaida Sana na hili neno jamaa alikua analalamika Sana na kusema ndio linalo muuma ila hajui afanye Nini.
Ni kweli hawa watu ukijifanya wewe wa kulialia sana utaondoka siku sio zako,sometimes lazima ukakamae ili ajuwe kuwa anaishi na mwanaume...
 
Safi, ila gharama! Mimi ningemshauri apige nyeto mbele yake, ili mke ajue kuwa hata mkono unatosha kuwa mke
Sasa hapo ile kauli ya kuwa unaonewa huruma ndio itaonekana ukweli yaani huna option na masimango na dharau ndio vitaongezeka
 
Back
Top Bottom