Mke arejesha heshima kwa Kasi ya 5G

Mke arejesha heshima kwa Kasi ya 5G

Nilipata tabu sana kufungua huu uzi nikifikiri ni yakawaida ila nimejifunza kitu hapa! Baba yangu alishawahi kuniambia kuwa wanawake ni madikteta ikiwezekana kila siku utafute njia mpya za kuishi naye wakati mwingine uchukie bila sababu.
 
Kuna jamaa yangu huyo ana changamoto kama hizo, unakaa nae kumpa mbinu akitoka hapo anarudi kwa shemej kulialia anakutajamo na mbinu ulizokuwa unampa yaan ni hatari.
Ndio walivyo ndio maana hata Mimi Mara ya kwanza nilikua namsikiliza tu na kumuacha atoe sumu ila nilivyo ona anamwanga wa kusaidiwa ndio nikajiingiza. Ili hata akienda kusema namwambia wewe ndio ulikua unakuja kuniambia na kuomba msaada . Kwa hiyo tatizo linarudi kwake.
 
Nilipata tabu sana kufungua huu uzi nikifikiri ni yakawaida ila nimejifunza kitu hapa! Baba yangu alishawahi kuniambia kuwa wanawake ni madikteta ikiwezekana kila siku utafute njia mpya za kuishi naye wakati mwingine uchukie bila sababu.
Hii kweli kiasili wapo hivyo na usiombe akuone huna mbinu alafu unampenda atakayo kufanyia Hadi mama yako mzezi akiyasikia tumbo la uzazi linastuka [emoji38][emoji38]
 
Iko makini mkuu

Hawa watu bhana ukiwa fair sana wanakuona kiazi
 
Back
Top Bottom