CORAL
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 2,813
- 1,827
Mwanaume mmoja huko Nairobi Kenya alifanyiwa surprise ya mwaka na mkewe akishirikiana na wanawake 4 anaotembea nao mumewe.
Ilikuwa siku ya Valentine mke akapanga mipango na wake wenzake ili waandae party ya valentine kwa ajili ya mume wao! Inaelekea walitaka kukomesha kwa kuwachanganya. Wakachanga kishs 60 kila mmjoja ili kufanikisha tukio hilo muhimu. Halafu mmoja wa michepuko akapangwa kuwa atamualika mwanaume kwake ambapo party imeandaliwa.
Mume alipokuja na kuingia ndani warembo 3 wakaja wakitokea chumbani kuangalia ni michepuko yake pamoja na mkewe.
Alidondoka chini na kuzimia kisha akapelekwa hospitali kwa matibabu. Anaendelea vizuri.
Kwa hiyo mapochopocho ya party yakamshinda.
Nairobi: Man Collapses After His Wife And Four Side Chicks Join Forces To Suprise Him On Valentine’s Day - Opera News Official

404
opr.news