Mke ashirikiana na michepuko 4 ya mumewe kumuandalia "surprise" mume, adondoka na kuzimia siku ya Valentine

na quote: "Mwanaume mmoja huko Nairobi Kenya alifanyiwa surprise ya mwaka na mkewe akishirikiana na wanawake 4 anaotembea nao mumewe"
"Mume alipokuja na kuingia ndani warembo 3 wakaja wakitokea chumbani kuangalia ni michepuko yake pamoja na mkewe"

ukiwa muongo ukumbuke pia ulipoanza ulianzaje


hahahhaha.
 
Walitangulia 3 wengine walikuwa hawajatokea bado ndipo akaanguka na kuzimia
 
Siwez Fanya Ujinga ule Mimi.
Kwanza kua na mahusiano kibao lAzima uwe ushajiandaa kwa plan B kikiumana mbele ya safari.

Ndo Maana nkasema jamaa Ni mzembe Sana,

KWAKIFUPI HAYUKO MATURED ktk kua multifunctional [emoji4]
Siku mwanachuo na dada yake wakijuana😜😜au ndo ushajipanga kwa plan b maana huyu wa kuzimia kakuzidi mmoja tu
 
Mwamba alikosa FURSA ya FIVESUM..!!
Kweli upele umpata asiye na Kucha..

#YNWA
 
Hiyo kama ile Maigizo ya Kenya Jumon aliwachanganya mademu kama wanne alipokwama akajifanya ana kifafa wakaona kesi wakakimbia ila alibakia mmoja tu
 
Siku mwanachuo na dada yake wakijuana[emoji12][emoji12]au ndo ushajipanga kwa plan b maana huyu wa kuzimia kakuzidi mmoja tu
Mi nishajiandaa kabisa na namna ya kuwakabili, all plans nishaweka KWENYE diary yangu.

Always huwa naangalia mbele[emoji4]
 
Bure kabisa yaani
Yaani..amechezea bahati sasa anajuta huko hospital...wee ebu imagine...8 boobs, matako nane na mbususu 4 alafu mtu anazimia baadala ya kuenjoy bahati ilioje
 
Mi nishajiandaa kabisa na namna ya kuwakabili, all plans nishaweka KWENYE diary yangu.

Always huwa naangalia mbele[emoji4]
Eti eeeh utanishtua na mie niongezeke tuwe watano najifanya mchepuko kumbe nakuibia siri zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…