Demu kafanana na Mbwana Samatta
Demu kafanana na Mbwana Samatta
Hahahaha,Hadi style ya kunyoa, ila kazuri zuriDemu kafanana na Mbwana Samatta
Ila hawa WAJINGA wanapiga Sana pesaBiashara za watu hizo , Tony anaandaa mrithi wa kazi yake ,ili kama yy akitangulia basi mama anaendelea kuhudumia kanisa hence family is served.
Pia mgao wa j2 , wakifunga hesabu wote wawili kama fake pastors kibunda kinakuwa kikubwa zaidi ,
Wanapiga pesa za wajinga ila mm hawanipatiIla hawa WAJINGA wanapiga Sana pesa
Wanaendeleza kuwapiga wajinga.Kafanya jambo zuri. Haya makanisa ambayo ni one man show siku akitwaliwa huwa yanayumba sana na hatimae kufa kabisa.
😂😂😂😂😂Hilo way kichwani ,kwenye masaburi plug inakosekana kweli wajuzi wenzangu?
Ogopa specie kama hizo
Huyo dada anaonekana ni muhuni wa kitambo sana,Hilo way kichwani ,kwenye masaburi plug inakosekana kweli wajuzi wenzangu?
Ogopa specie kama hizo
Wahuni Tu hao, na kajamaa naskia kanawagonga hapo church balaaWanapiga pesa za wajinga ila mm hawanipati
SanaaHuyo dada anaonekana ni muhuni wa kitambo sana,
😂😂😂 dadii kamleta mamiiWachaaa wee?! Wafuasi wamepata mommy wao?!
😂😂😂😂😂😂