Mke asimikwa uchungaji hukoi baada ya makelele ya magari mengi..na gesi

Mke asimikwa uchungaji hukoi baada ya makelele ya magari mengi..na gesi

Mathayo 13:24
 

Attachments

  • Screenshot_20250808-231047.png
    Screenshot_20250808-231047.png
    208.8 KB · Views: 13
Alafu kuna makafiri watakuja kuwacheka makobazi na bikira zao 72
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuliko mtu Kusali Kwa mwizi,,tapeli na mshirikina kama huyo kupola furnace ni Bora ulipie king'amuzi cha DSTV uangalie mahubiri ya msalaba ya familia ya JIMMY LEE SWAGATT SBN channel no 345 kanisa liwe sebuleni kwako...
 
Ukiwa mkristo Dar es salaam unatafuta kanisa la kievanjelical Zingatia makanisa haya ya ukweli...1.MBEZI BCIC Kwa Gamanywa
Pia matawi yake..2.DPC Kinondoni Moscow 3.Restoration church Goba center Kwa Ev.Daniel Joshuan...4.Florian Katunzi Kijichi.Makanisa ya Kkkt.Makanisa ya FPCT,,,TAG wanaohubiri injili ya msalaba kuhusu wokovu,,kutakaswa na kujazwa nguvu za ROHO Mtakatifu... Wakristo mnatakiwa muwe na hekima na akili kama nyoka na wapole kama njiwa...
 
kweli dini ni biashara inayolipa ndio mana hata hamna heshima.
 
Back
Top Bottom