Mke au Mtoto Wako Yupi wa Kumuokoa? Amuokoa Mkewe

sasa klorokwini huyu alikua wifu sio to be au mie nimeelewa ndivyo sivyo.

hata hivyo mahasbandi tu bi na wao hivo hivo hawaeleweki utashangaa mtu anabutuliwa on the twinkling of an eye!!!

siku hizi hamna garantii si kwa maHE wala maSHE!!!
huku kijijini kwetu mwalimu wa sayansi katuambia wanawake wote wanaitwa waifu to be kwa kisayansi hata wale wenye meno yaliosimama(menopause).kama katuzuga nishtue niwaambie jamaa tuandamane.
 
Unatumia hisia kujustify incidence au sababu?

sababu watoto wangu ni kila kitu kwenye maisha yangu, i mean kila kitu kwangu!....once again nitamuokoa mwanangu.
 
Well, nilikuwa nazungumzia binafsi kama ningekuwa na option moja....ningeokoa mtoto! ingetokea ya pili I will go for Mzenj....hope hatasoma hii comment...LoL
 
sababu watoto wangu ni kila kitu kwenye maisha yangu, i mean kila kitu kwangu!....once again nitamuokoa mwanangu.

Hebu nyambulisha hapa......kwasababu hata baba K ulikuwa unamwambia is everything on ur life....tena kwa kingereza kuweka msisitizo leo JF unakuja kivingine!
 
Well, nilikuwa nazungumzia binafsi kama ningekuwa na option moja....ningeokoa mtoto! ingetokea ya pili I will go for Mzenj....hope hatasoma hii comment...LoL

hakuna cha option moja, situation ndio inakuforce ku opt moja.
 
sababu watoto wangu ni kila kitu kwenye maisha yangu, i mean kila kitu kwangu!....once again nitamuokoa mwanangu.

kama hao watoto ni kila kitu maishani mwako ina maana baba yao si kitu kbs maishani mwako na kuna sababu ndio maana nikakuuliza una tumia hisia kujibu tukio?? ina maana kuna tatizo sehemu.
 
bht ni mbabaishaji amekimbia nyundo hapa.....amehisi blood could spread all over hahahahahahah watu wana mikwara balaaa
 
Hebu nyambulisha hapa......kwasababu hata baba K ulikuwa unamwambia is everything on ur life....tena kwa kingereza kuweka msisitizo leo JF unakuja kivingine!

cmaanishi kuwa cna mapendo/mapenzi nae, yapo na yalikuwepo na yataendelea kuwepo lakini kwa upande wa baby kachukua lile pendo kabisa, yeye nampenda/namjali na kila kiu kama mume/baba watoto lakini mapenzi/mapendo niliyonayo kwa mwanangu ni mengine kabisa kwnye hii dunia......
 
From genetics point of view, your child has 50 % of your chromosomes! a wife has none......nitaokoa mtoto wangu after all nasogeza nyumba ndogo tu maisha mdundo!

Bahati mbaya waweza kuta kumbe hata huyo mtoto unayemwokoa si wako! I better save my wife!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…