Mke au Mtoto Wako Yupi wa Kumuokoa? Amuokoa Mkewe

Mke au Mtoto Wako Yupi wa Kumuokoa? Amuokoa Mkewe

Bahati mbaya waweza kuta kumbe hata huyo mtoto unayemwokoa si wako! I better save my wife!
hapa unazidi kulikoroga, sasa unamuokoa mke wako akampe uroda tena huyo alomzalisha?, in this kesi kama hajazama vizuri huyo waif tu bii namzamisha mimi. asiongeze idadi ya wazembe duniani. naweza nikkamuonea huruma huyo mtoto kwakuwa hana kajikosa
 
hata mimi ningefanya hivi kama Masa. Hivi wake zetu si washikaji tu?

Inategemea n'tu na n'tu! My wife is more than mshikaji! Mtoto tutapata mwingine bana! Mi ntamwokoa wife!
 
kwa kweli huu hapa ni pagumu wote ni muhimu sana maishani mwangu. na ninawapenda kupita kiasi hivyo nitawaokoa wote no matter sijui kuchagua mmoja,
 
i love my wife, lakini sorry,...nitaokoa MWANANGU.
 
bht ni mbabaishaji amekimbia nyundo hapa.....amehisi blood could spread all over hahahahahahah watu wana mikwara balaaa

asante ka kompliment Masa.....simwogopi yeyote (except God) hapa natoa mawazo yangu wala sisukumwi na mtu kufanya hivo....sasa hiyo mikwara unayoizungumzia hapa siilewi au kama ile ya Bluray jana
 
asante ka kompliment Masa.....simwogopi yeyote (except God) hapa natoa mawazo yangu wala sisukumwi na mtu kufanya hivo....sasa hiyo mikwara unayoizungumzia hapa siilewi au kama ile ya Bluray jana

Nimekuhamishia mikwara ya jana kwako! Watch out.....there will be blood in JF hahahahahahahahah

Hutakiwi kuogopa mtu tetea unachojua, by the way hata biblia ina sema nanukuu

"After these things the word of the LORD came to Abram in a vision, saying, "Do not be afraid, Abram. I AM your shield, your exceedingly great reward."
Genesis 15:1

Kwenye biblia neno usiogope limeandikwa mara 366, unaweza google pia, kwa maana hiyo usiogope daima maana kila siku kuna mstari usiogope.


JIbu swali kwanini unafata upepo? Stand up be urself, and shout with reasons
 
kwani kaka wewe unafuasia wapi?

Angalia nilivyojieleza hapa chini, then utaelewa nilikuwa namaanisha nini

Mkuu nabishana na wewe hapa, kitaalamu tatizo lililompata agent/mwokoaji kwa ki philosophy/ethicists linaitwa/wanaita moral dilemma-ni situation ambayo an agent(here refered as mwokoaji/mume) regards him/herself as having moral reasons to do each of two actions, but doing both actions is not possible.

Na kutokana na maelezo utaona kuwa alimwokoa mke then akamfwata mtoto kwenye depth ya 4 point chini but found wedged and dead already. So it wasnt his wish to let the situation tht way.
 
Angalia nilivyojieleza hapa chini, then utaelewa nilikuwa namaanisha nini
kaka hii imekaa kifilosofia zaidi inahiatji tafakuri ya kina kabla ya kujump in.
 
Back
Top Bottom