mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Acha kukurupuka ndugu,hii habari inaonyesha kuwa mtoto alikuwa ktk mazingira yasiyoweza okoleka,hivyo angehangaika na mama naye angekufa na isitoshe familia nzima bora hiyo,kuhusu kibuti huwezi pigia hesabu kama upo kwenye ndoa,sawa na mtu anayefanya biashara anajua kuwa hasara hutokea,lakini mara zote hulenga faida!!kwa laifu la siku hizi bora angemuokoa mtoto. unaweza ukamuokoa mke halafu ndani ya mwezi mmoja akakupiga kibuti. hapa naweza nikapata mashambulizi kutoka jinsia inayovaa sketi na blauzi!