klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
hapa unazidi kulikoroga, sasa unamuokoa mke wako akampe uroda tena huyo alomzalisha?, in this kesi kama hajazama vizuri huyo waif tu bii namzamisha mimi. asiongeze idadi ya wazembe duniani. naweza nikkamuonea huruma huyo mtoto kwakuwa hana kajikosaBahati mbaya waweza kuta kumbe hata huyo mtoto unayemwokoa si wako! I better save my wife!
hata mimi ningefanya hivi kama Masa. Hivi wake zetu si washikaji tu?
Jibu swali bwana acha usanii wa kibongo bongo!
bongo ndo kwetu
Mjomba punguza ukali wa maneno kidogo, Sabato imekaribiaUnaweza kuta huyo mke wako ni mke wa kila mtu I mean choo cha stand ya mabasi!
Mjomba punguza ukali wa maneno kidogo, Sabato imekaribia
Unaweza kuta huyo mke wako ni mke wa kila mtu I mean choo cha stand ya mabasi!
Exactly my Unclemasahihisho: ni washkaji weiting to explode! enitaimu wanaweza wakageuka maadui.
bht ni mbabaishaji amekimbia nyundo hapa.....amehisi blood could spread all over hahahahahahah watu wana mikwara balaaa
potelea mbali nitapata thawabu kutoka kwa Mola kwa kumuokoa mtoto
Lakini mwisho wa siku anakuja kwangu siyo? Hahaha! Then I better save myself! LOL!
My mtoto then! sababu nimeainisha hapo awali
asante ka kompliment Masa.....simwogopi yeyote (except God) hapa natoa mawazo yangu wala sisukumwi na mtu kufanya hivo....sasa hiyo mikwara unayoizungumzia hapa siilewi au kama ile ya Bluray jana
"After these things the word of the LORD came to Abram in a vision, saying, "Do not be afraid, Abram. I AM your shield, your exceedingly great reward."
Genesis 15:1
Teh teh teh nimegundua wewe ni mbinafsi sana kibluray ...you're egocentric!
nitapata LAKINI haifikii ile ya kumuokoa mtotoHahaha! Kwani ukimuokoa mkeo hutapata thawabu?
kwani kaka wewe unafuasia wapi?Mpaka sasa sioni mfwasi wangu ila hii ni very interesting topic
kwani kaka wewe unafuasia wapi?
Mkuu nabishana na wewe hapa, kitaalamu tatizo lililompata agent/mwokoaji kwa ki philosophy/ethicists linaitwa/wanaita moral dilemma-ni situation ambayo an agent(here refered as mwokoaji/mume) regards him/herself as having moral reasons to do each of two actions, but doing both actions is not possible.
Na kutokana na maelezo utaona kuwa alimwokoa mke then akamfwata mtoto kwenye depth ya 4 point chini but found wedged and dead already. So it wasnt his wish to let the situation tht way.
kaka hii imekaa kifilosofia zaidi inahiatji tafakuri ya kina kabla ya kujump in.Angalia nilivyojieleza hapa chini, then utaelewa nilikuwa namaanisha nini