Acha kukurupuka ndugu,hii habari inaonyesha kuwa mtoto alikuwa ktk mazingira yasiyoweza okoleka,hivyo angehangaika na mama naye angekufa na isitoshe familia nzima bora hiyo,kuhusu kibuti huwezi pigia hesabu kama upo kwenye ndoa,sawa na mtu anayefanya biashara anajua kuwa hasara hutokea,lakini mara zote hulenga faida!!