Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Kwanini mkuu??maisha mabaya hayana ufunguo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu??maisha mabaya hayana ufunguo
najibu kwa upande wangu unataka niseme mume anafunguaje maisha.soma vizuri nimeandika nini,hii sio kwa mwanamke tu,tunafeli mitihani kwa kukurupuka kujibu bila kusoma swali
Umeandika kichina au kijapenga? Mkuu angali ngozi ya kitimoto haiwambwi ngoma.Mke au Mume ni ufunguo wa maisha,hivyo msidanganye,vijana wa kiume na wa kike oaneni na sio lazima mfanye sherehe
neno ufunguo halitumiki kutaja mambo mabaya ni kama neno bahati ambalo watu hulikisea kwa kusema bahati mbaya,hakuna bahati mbaya kwa kiswahili kwani bahati hutumika kuashiria mambo mema tuKwanini mkuu??
ukiwa kwenye ndoa ndio utajua maana utaona jinsi fursa zinavyokuja ambazo kabla ya ndoa zilikuwa hazijinajibu kwa upande wangu unataka niseme mume anafunguaje maisha.
ukikutana na hali hiyo ujue kuna kitu kibaya umefanyaInategemeana wengine ukiingia tu mambo yako yote yanakufa utafukuzwa kazi biashara zitakufa utafilisika nk.
Au utabalikiwa akiwa na kibali utapata KAZI,mali, utajiri, furaha na amani
Hii ni tafsi yako tu chief..kuna funguo za kuzima man ,hujawahi kuzisikia??neno ufunguo halitumiki kutaja mambo mabaya ni kama neno bahati ambalo watu hulikisea kwa kusema bahati mbaya,hakuna bahati mbaya kwa kiswahili kwani bahati hutumika kuashiria mambo mema tu
nakuungamkono mia kwa mia na siku unao niambie ntakuchangia japo jikoNdoa yangu itakuwa simple tu ,mahari kubwa inshallah...Hamna sherehe wala kelele na mtu.
Huu mwaka Mungu anifanyie wepesi.
Labdaukiwa kwenye ndoa ndio utajua maana utaona jinsi fursa zinavyokuja ambazo kabla ya ndoa zilikuwa haziji
kitu kibaya ni makosa kutumia funguo na ukitumia neno funguo ni makosa kama ambavyo watu husema mwanaume akifiwa mke ni mgane,ni makosa mwanaume au mwanamke akifiwa ni wajane tu hakuna mgane lakini watubwanatumia mganeHii ni tafsi yako tu chief..kuna funguo za kuzima man ,hujawahi kuzisikia??
Bora nipeleka ukweni mil 10 kuliko kutumia kwenye sherehe .nakuungamkono mia kwa mia na siku unao niambie ntakuchangia japo jiko
Umeshare Bluetooth na mtu mwenye virusukikutana na hali hiyo ujue kuna kitu kibaya umefanya