Binti Sayuni03 JF-Expert Member Joined Jan 21, 2025 Posts 1,075 Reaction score 1,913 Mar 7, 2025 #41 Hakika mkuu
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 9,016 Reaction score 24,650 Mar 7, 2025 #42 Harmful said: Tuliambiwa elimu ndiyo ufunguo wa maisha Leo tena mnasema mke na mume kwamba kufuli la maisha limebadilishwa au??? Mbon mnatuchanganya wasaka tonge Click to expand... ππππ
Harmful said: Tuliambiwa elimu ndiyo ufunguo wa maisha Leo tena mnasema mke na mume kwamba kufuli la maisha limebadilishwa au??? Mbon mnatuchanganya wasaka tonge Click to expand... ππππ
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 9,016 Reaction score 24,650 Mar 7, 2025 #43 fimboyaukwaju said: Mke au Mume ni ufunguo wa maisha,hivyo msidanganye,vijana wa kiume na wa kike oaneni na sio lazima mfanye sherehe Click to expand... Mdada wa mjini umuoe bila msafara wa matalumbeta
fimboyaukwaju said: Mke au Mume ni ufunguo wa maisha,hivyo msidanganye,vijana wa kiume na wa kike oaneni na sio lazima mfanye sherehe Click to expand... Mdada wa mjini umuoe bila msafara wa matalumbeta
S Simon10 JF-Expert Member Joined Jun 19, 2024 Posts 607 Reaction score 1,981 Mar 7, 2025 #44 Mleta mada kama umeoa (umepata funguo), na hauna hata gari, itakuwa umebadilishiwa kitasa
F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Mar 8, 2025 Thread starter #45 MIXOLOGIST said: Funguo ukiwa unafungua kila mlango unaitwa master key, ila mlango ukiwa unafunguliwa na kila funguo unaitwa...... tuanzie hapo Click to expand... azizi k
MIXOLOGIST said: Funguo ukiwa unafungua kila mlango unaitwa master key, ila mlango ukiwa unafunguliwa na kila funguo unaitwa...... tuanzie hapo Click to expand... azizi k
F fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 2,977 Reaction score 3,798 Mar 8, 2025 Thread starter #46 Simon10 said: Mleta mada kama umeoa (umepata funguo), na hauna hata gari, itakuwa umebadilishiwa kitasa Click to expand... gari?
Simon10 said: Mleta mada kama umeoa (umepata funguo), na hauna hata gari, itakuwa umebadilishiwa kitasa Click to expand... gari?