Mke au Mume sio adui

Mke au Mume sio adui

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Wanandoa mke au mumeo sio adui,huyo ndio rafiki yako,mwandani wako,msaidizi wako,kiburudisho wako,mnalala uchi,mna share liquids zenu ama kwa mdomo au kwa nyuchi zenu,na miongoni mwenu mnameza milenda na uji mzito mweupe,sasa ugomvi wa nini?,

Kutokuaminiana kunatoka wapi? ,vita vya nini,hofu ya nini.Tulieni,kuleni raha,mzeeke pamoja na mzikane kwa kusomeana tanzia.
 
Una nadharia nyingi kaka
Ila watu watakushinda kwa ukweli unao endelea hapa duniani
 
MTOA MADA UPO SAHIHI KABISA, NA HILO NDILO LENGO AMBALO KILA MWANANDOA ANAKUWA NALO KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA NA HATA ZILE SIKU ZA MWANZO WA NDOA HUWA HIVYO YAANI HIVYO TU... SEMA KUNA NDOA INAYOKUJA KUENDELEA BAADA YA MIAKA MITANO MBELENI HUKO AISEE LAZIMA MJIKUTE MNATOKA TU AUTOMATICALLY KWENYE HAYO ULIYOYAANDIKA... LEAVE IT OR TAKE IT
 
Una nadharia nyingi kaka
Ila watu watakushinda kwa ukweli unao endelea hapa duniani
watu wananishinda? kwa ushahidi wa kuhesabunau kukisia?.Sawa japo wananishinda au laa,siwezi kuacha kutoa maoni yangu ambayo mimi nayaamini,kwani siyatoi kushindana na watu,bali kushawishi,na ushawishi sio kazi rahisi
 
MTOA MADA UPO SAHIHI KABISA, NA HILO NDILO LENGO AMBALO KILA MWANANDOA ANAKUWA NALO KABLA YA KUINGIA KWENYE NDOA NA HATA ZILE SIKU ZA MWANZO WA NDOA HUWA HIVYO YAANI HIVYO TU... SEMA KUNA NDOA INAYOKUJA KUENDELEA BAADA YA MIAKA MITANO MBELENI HUKO AISEE LAZIMA MJIKUTE MNATOKA TU AUTOMATICALLY KWENYE HAYO ULIYOYAANDIKA... LEAVE IT OR TAKE IT
Napokea maoni kwani yanazudi kunijenga mimi
 
Back
Top Bottom