malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Ndoa Ina muda GaniHabar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa,zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako
😄😄😄 Mods wamefuta na hiyo commentDuh aiseee 😂😂😂
mkewako kashakuambia NO REFORMS NO ELECTIONHabar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa,zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako
Kwa wanawake hamu ya tendo inatengenezwa nje ya chumbani.Habar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa,zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako
Mvuto upi huoKwa wanawake hamu ya tendo inatengenezwa nje ya chumbani. Jitafakari labda umekosa mvuto!
Wa kimapenzi, nilishaliandikia nyuzi hili jambo na wanawake wa JF wakachangia.Mvuto upi huo
Wangu hatengenezi mazingira zaid atalalamika,atasema unajua majukum ya ndoa kweli yaan anataka aombweMwanamke aliyesawa nilazima aombe tendo la ndoa au atengeneze mazingira hasa siku zake za hatari
Yaan yeye anataka tendo Kila mara ila nimpaka umuombe sio yeye atengeneze mazingira yakulihitaji au kuomba ,,ukikaa kimya nae anakaa kimya,ila atalalama kuwa hujui majukum YakoAna vitu vya msingi vya kufanya zaidi ya kufanya Ngono....
Chunguza utajua
Kiutamaduni wa kiafrika tujuavyo, mwanaume ndo umfuata mwanamke iwe kwa kumtongoza,ku.mchumbia,kutoa mahari nk nk,sio kinyume chake, hivyo hivyo katika kutaka tendo, japokuwa si mbaya na mke akimtakia mmewe kuwa anahitaji, maana hiyo ni sehemu ya mahaba ati!!na mara nyingi ni mhimu ukajua wanawake wengi huwa ni wagumu kutamka,bali uongea zaidi kivitendo,kwa kuonyesha ishara mbalimbali,ni mhimu ukajua hayo,, kulingana na mazoea, mwingine aweza hata kukaa mikao ya hasara sebuleni mkiwa peke yenu au kitandani nkHabar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa.
zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako
Labda mkeo haombi wake zetu wanaombaHabar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa.
zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako