Mke haombi Wala kutengeneza mazigiria yakuhitaji tendo la ndoa Hadi aombwe

Mke haombi Wala kutengeneza mazigiria yakuhitaji tendo la ndoa Hadi aombwe

Yaan yeye anataka tendo Kila mara ila nimpaka umuombe sio yeye atengeneze mazingira yakulihitaji au kuomba ,,ukikaa kimya nae anakaa kimya,ila atalalama kuwa hujui majukum Yako
Ndio,we mwambie kwani kuna taabu gani, huyo ndivyo alivyo,tena mbona afadhali sana huyo anataka utekeleze majukumu,kuna mwingine akwambii lolote na ukimwendea hataki au anarusha ata mateke na akwambii tatizo ni nini.!!
 
Umeshamueleza lakini kuhusu hilo? Anyways mpige miti kisawa sawa huyo
 
Si mlisema ukioa unapata access ya kuichapa muda wowote, nini tena hiki
 
huyo mkeo watakua ndugu na mke wangu na mimi ni hivyo hivyo usipo muomba miezi ita isha hata ishara ya hamu hana niki muuliza anajibu vijiti ndo vina sababisha kuto kua na hamu wala hisia
 
Habar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa.

zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako
tafuta demu mwingine hapo uwe unapiga kimoja tu huyo hajitambui mkuu wapo wengi Sana tena ukitaka nakuelezea hata sifa zake zingine mbali na kutokuomba tendo
 
Back
Top Bottom