implicit memory
JF-Expert Member
- Nov 14, 2024
- 2,109
- 2,157
Ndio,we mwambie kwani kuna taabu gani, huyo ndivyo alivyo,tena mbona afadhali sana huyo anataka utekeleze majukumu,kuna mwingine akwambii lolote na ukimwendea hataki au anarusha ata mateke na akwambii tatizo ni nini.!!Yaan yeye anataka tendo Kila mara ila nimpaka umuombe sio yeye atengeneze mazingira yakulihitaji au kuomba ,,ukikaa kimya nae anakaa kimya,ila atalalama kuwa hujui majukum Yako
tafuta demu mwingine hapo uwe unapiga kimoja tu huyo hajitambui mkuu wapo wengi Sana tena ukitaka nakuelezea hata sifa zake zingine mbali na kutokuomba tendoHabar wakuu hivi mke kutokuomba tendo la ndoa Wala kutengeneza mazigira yakuhitaji tendo la ndoa,yaan mpaka umuombe ila huwezi Kuta anamazigira ya kuhitaji au kuomba ukipiga kimya hitaona ishara zakuhitaji Wala kuombwa.
zaid siku utaambiwa hujui wajibu wako
Mfundishe mdogo wako namna ya kumfikisha wifi akoSasa kama humfikishi atakuomba ili iweje mdogo wangu?
Afunguke kijana tumuongezee Mbinu!! Cha muhimu asiwe kama jogoo sekunde tu chali🤗🤗🤗🤗Mfundishe mdogo wako namna ya kumfikisha wifi ako